Nisalimie hebu superstarKumbe cha juzi..ila kwangu 96 97 mbali mkuu.
Humu ndani kuna vitoto vingi alafu vinatuona watoto wenzao[emoji134][emoji134]Nisalimie hebu superstar
I bet hata miaka 33, haujafika ...Huyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
Hahaa kweli nyumba zenye paa za madebe ya korie zilikuwa kibao mjiniUkiona mtu anatumia dumu la plastik kuchezea ujue sio mhenga enzi zetu mafuta yalikuwa yanauzwa kwny makopo ya bati ukipita sehem kama jangwani unakuta mtu kaezeka kwa kutumia makopo ya korie
Kabisaaa auntie...Humu ndani kuna vitoto vingi alafu vinatuona watoto wenzao[emoji134][emoji134]
Marahaabaaaa!Kabisaaa auntie...
Lakini shkamoo
Gulio katerero? Alafu serkali wakaacha bila ata kueditHuyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
Hahaha hahaha hahahaMarahaabaaaa!
Video kolu hajambo?[emoji85][emoji85]
Hatukusoma hayo mambo ya mouseEnzi hizo Mouse ilikuwa inaletwa darasani?
Niliyesoma kijijini Kuna kakaz walikua wanakuja shule na kaptula hapa mbele zip zilishaharibika[emoji23][emoji23]wanavaa manguo mengimengi ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheka mwenyew hapa hatareee mtaniuaa daaah....Teh teh shughuli j,matano ukifua unaianika kwenye taa ya chemli usiku au jikoni asubuhi harufu ya moshi tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Nmecheka mwenyew hapa hatareee mtaniuaa daaah....
Manenge na mandawaWatoto wageuka mawe.
Manenge na mandawa
Kinoge ajifunza kupika
Faraja mchoyo.
Heri mimi sijasema
Nimekumbuka mbali sana