Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
"Sungura mjanja,"Huyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
-Awafu mwenye nguvu
-Pamela na kipini
-Siku ya gulio
-Tola alia gizani
-Watoto wageuka mawe
-Mkutano wa wanyama
-Nani atamfunga paka kengere
-Muwa uliozamisha meli
-Sadiki na Chitemo
-Jogoo wa ajabu
-Mpapai na mtete
-Kuku na yai
-Pepe mwanangu huna masikio
-Chopeko na mnofu.
Sizitaki mbichi hizi.Huyo sikiri sijamsoma mkuu.
Nazikumbuka tu hizi.
-Jogoo wa ajabu
-siku ya gulio katerero
-chitemo na sadiki
-Karudi baba mmoja
-sungura mjanja
-
Karudi baba mmoja,toka safari ya mbali.
Kavimba yote mapaja,na kutetemeka mwili.
Watoto wake wakaja,ili kumtaka hali.
Wakataka na kauli iwafae maishani.
Akatamka mgonjwa ninaumwa kwelikweli.
Roho naona yachinjwa,kifo kinanikabili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Esopo,
Alfulela ulela,.
Hekaya ya abn
Watoto wageuka mawe.
Manenge na mandawa
Kinoge ajifunza kupika
Faraja mchoyo.
Heri mimi sijasema
Nimekumbuka mbali sana
Teh teh teh...baadhi yao wale wakubwa walikua wakichaguana kumbe walikua wanaangalia mbali zaidiKuna wengine humu hamkuikuta ile ya mchezo wa kibaba-baba/kimama-mama, halafu wakati wa kufanya tunafanya kinguonguo aka kiuongo-uongo..... ...kimbembe chake mkikamatwa ni fimbo na vifinyo kwenda mbele..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubeti wapili hujamalizaKarudi baba mmoja,toka safari ya mbali.
Kavimba yote mapaja,na kutetemeka mwili.
Watoto wake wakaja,ili kumtaka hali.
Wakataka na kauli iwafae maishani.
Akatamka mgonjwa ninaumwa kwelikweli.
Roho naona yachinjwa,kifo kinanikabili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri.Ubeti wapili hujamaliza
Akatamka mgonjwa,Ninaumwa kwelikweli,
Hata Kama nikichanjwa,Haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,kifo kimenikabili,
Kama mnataka Mali,mtaipata shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubeti wapili hujamaliza
Akatamka mgonjwa,Ninaumwa kwelikweli,
Hata Kama nikichanjwa,Haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa,kifo kimenikabili,
Kama mnataka Mali,mtaipata shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba aliye kufani,akajibu Lile swali,Wakazidi kumchimba baba mwenye homa kali
Baba yetu watufumba hatujui fumbo hili
Akili yetu nyembamba haijajua methali
Sema iko wapi mali itufae maishani.
Urithi tunatamani,Mali yetu ya halalali
Madogo walikomaa hao.[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app