Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifariki kumbe?
Selemani kumchaya umemrudia mara mbili, nafasi moja muweke Agoro Anduru External Service. Jamaa alikuwa akiandika habari haipiti kwa Mhariri inaenda moja kwa moja News room kutokana na command yake ya Oxford English. Akiwa Musoma Alliance Secondary rekodi yake ya somo la English haijavunjwa hadi leo. Ameacha vitabu kadhaa. Balozi Osoro Opanga (Mkuu wa Itifaki mstaafu) ambaye alikuwa Msaidizi wa Mwl kwenye ukalimani wa lugha (anaongea na kuandika lugha 21) alimvulia kofia Agoro Anduru kwenye Kiingereza.Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na national na panasonic na Nationalpanasonic (National na National panasonic ni kitu kimoja) au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa, wewe unamkumbuka nani?
Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari na Mazungumzo baada ya habari
Abisai Steven
Abou Liongo–Michezo
Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
Ahmed Kipozi–Mpira
Alex Malumwene
Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
Bakari Msulwa- Salam
Barbabas Mluge
Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – Wakati wa Kazi
Bazir Mbakile
Ben Mwang’onda
Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. – Enzi za vita ya Nduli
Benjamin Rwegasila
Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
Bujago Izengo wa Kadago
Charles Hillary–Mpira
Chillambo Dominic—Mpira
Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
Chriss Katembo
Christina Chokunogela
David Wakati–Duniani Wiki Hii
Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
Dominic Chilambo- Mpira
Edda Sanga
Fauziah Ismal-Habari
Hannah Gogo Mayige-Habari
Harid Ponela – club raha leo show
Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Henry Michael Libuda- Misakato
Iddi Rashid Mchata
Idrisa Sadala
Jacob Tesha–Habari
Japhet Muura.
Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
Juma Ngondai
Khalid Ponera- Zilipendwa
Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
Malima Nderema
Mariam Shabba–Mambo ya jamii
Martha Ngwira
Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
Mohamed Abdullhamaan–Michezo
Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
Mshindo Mkeyenge—Michezo, Mpira
Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
Nazir Mayoka–Mpira
Neema Kipungahelo
Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
Paschal Mayalla–Habari
Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
Peter Msungu–Mbili Kasoro
Rashid Mchata
Restuta Bukoli
Richard Leo
Rochus Matipa – External Service RTD
Rose Haji
Salama Mfamao
Salim Mbonde–Mpira
Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
Sango Kipozi–Habari
Sara Dumba–Mama na Mwana
Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
Sekioni Kitojo–Michezo
Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
Selemani Mkufya
Simba Nyamaume–Majira
Siwatu Luwanda–Habari
Stan (Stanslaus) Katabalo – Majira
Suedi Mwinyi
Suleiman Hega
Suleiman Kumchaya
Suleiman Muhogora
Titus Philipo
Titus Stephen
Tumbo Risasi – Kigoma
Zainab Bakilana
Umesahau Masoud Masoud, Amina Mollel (MP) na yule mwingine wa Dodoma aliyekuja kuwa mbunge na N/Waziri Habari na Michezo.Selemani kumchaya umemrudia mara mbili, nafasi moja muweke Agoro Anduru External Service. Jamaa alikuwa akiandika habari haipiti kwa Mhariri inaenda moja kwa moja News room kutokana na command yake ya Oxford English. Akiwa Musoma Alliance Secondary rekodi yake ya somo la English haijavunjwa hadi leo. Ameacha vitabu kadhaa. Balozi Osoro Opanga (Mkuu wa Itifaki mstaafu) ambaye alikuwa Msaidizi wa Mwl kwenye ukalimani wa lugha (anaongea na kuandika lugha 21) alimvulia kofia Agoro Anduru kwenye Kiingereza.
Ezekiel Malongo - MichezoTujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio zilizotumiaka alimaarufu kama redio za phillps na national na panasonic na Nationalpanasonic (National na National panasonic ni kitu kimoja) au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa, wewe unamkumbuka nani?
Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari na Mazungumzo baada ya habari
Abisai Steven
Abou Liongo–Michezo
Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
Ahmed Kipozi–Mpira
Alex Malumwene
Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
Bakari Msulwa- Salam
Barbabas Mluge
Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – Wakati wa Kazi
Bazir Mbakile
Ben Mwang’onda
Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari Kikoloma. – Enzi za vita ya Nduli
Benjamin Rwegasila
Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
Bujago Izengo wa Kadago
Charles Hillary–Mpira
Chillambo Dominic—Mpira
Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
Chriss Katembo
Christina Chokunogela
David Wakati–Duniani Wiki Hii
Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
Dominic Chilambo- Mpira
Edda Sanga
Fauziah Ismal-Habari
Hannah Gogo Mayige-Habari
Harid Ponela – club raha leo show
Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
Henry Michael Libuda- Misakato
Iddi Rashid Mchata
Idrisa Sadala
Jacob Tesha–Habari
Japhet Muura.
Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
Juma Ngondai
Khalid Ponera- Zilipendwa
Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
Malima Nderema
Mariam Shabba–Mambo ya jamii
Martha Ngwira
Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
Mohamed Abdullhamaan–Michezo
Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
Mshindo Mkeyenge—Michezo, Mpira
Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
Nazir Mayoka–Mpira
Neema Kipungahelo
Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
Paschal Mayalla–Habari
Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
Peter Msungu–Mbili Kasoro
Rashid Mchata
Restuta Bukoli
Richard Leo
Rochus Matipa – External Service RTD
Rose Haji
Salama Mfamao
Salim Mbonde–Mpira
Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
Sango Kipozi–Habari
Sara Dumba–Mama na Mwana
Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
Sekioni Kitojo–Michezo
Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
Selemani Mkufya
Simba Nyamaume–Majira
Siwatu Luwanda–Habari
Stan (Stanslaus) Katabalo – Majira
Suedi Mwinyi
Suleiman Hega
Suleiman Kumchaya
Suleiman Muhogora
Titus Philipo
Titus Stephen
Tumbo Risasi – Kigoma
Zainab Bakilana
Kweli mkuu umenikumbusha mbali sana!!
Enzi hizi redio ni ama National Panasonic au Phillips na betri za kuanika au kuunganisha. Enzi hizo Mwl akihutubia wote tunakusanyika kusikia maelekezo
Cairo's
Juma Nkamia - mpiraUmesahau Masoud Masoud, Amina Mollel (MP) na yule mwingine wa Dodoma aliyekuja kuwa mbunge na N/Waziri Habari na Michezo.
Hivi Marine Hassan Marine angelikuwa hai leo Charles Hilary angeenda Ikulu Znz kweli?"Hii ni taarifa ya habari kutoka radio Tanzania Dare Salam....msomaji ni Mimi Bujaga Izengo Kadago". Nilikuwa naipenda sana sauti yake ya mapozi sijui Yuko wapi huyu .
Ingekua nafac yake ileHivi Marine Hassan Marine angelikuwa hai leo Charles Hilary angeenda Ikulu Znz kweli?
Umeona eee....Ingekua nafac yake ile