Habari wadau na mabestito
Karibuni kwenye Forum ya zilipendwa ya WAHENGA FORUM ambayo tutakuwa tukijadili na kuweka mambo yetu ya kale yaani zile thread zilizopendwa ambazo zilitamba sana enzi hizo, na tutakuwa tukifurahishana kwa kuwataja wale ambao walikuwa masupastaa wa nyakati hizo lengo hasa ni kutaka kuwapa taarifa MAKAPUKU F wa kisasa kuwa jf ina wenyewe ndo siye waanzilishi wake
Halooooohaloooo wale waliokuwa wakichat kwa takriban masaa 24 akina
Viol,
Asnam,
miss chagga,
Matola,
mwinyimkuu,
Khantwe ,
PakaJimmy , @Rutashobolwa, na wengineo wengi karibu sasa uwanja mpana ni wenu
Kwa wenzangu waliokuwa mstari wa mbele kutuletea mada za kuchangamsha na kuelimishana na kuburudisha nao ni akina
Mentor ,
Mtambuzi ,
Arushaone ,
Watu8 (my daddy sijui kafichwa wapi),
GEORGE mimi,
Pascal Mayalla, (huyu kiboko wa siasa) @Clara1 (kiboko wa mada changanizi) hahahaaaaaa,
Miss Bantu (nimkoseje naye huyu),
Miss Natafuta (yy upande wa mmu humkosi), jamani ni wengi na wengine nimewasahau si unajua zilipendwaaaaaa hahaaaaaaa wahenga msijekunitafuna bure hapa yeereeeuuuu nimemsahau na
Madame B , oyoooo na
KakaKiiza wahenga hawa wa jf, hahaaaaaaaaaaaa
Sasa nakuja kwa wachangiaji wakereketwa yaani si mchezo hawa nao ni:
Passion Lady,
Lady doctor (huyu alikuwa kiboko masaa 24 anachangia sijui alikuwa halali hahaaaaaa its jokes),
measkron (my mumy asiyejulikana hahaaaaaa),
Filipo,
amu,
steven Masako, (sijui sijakkosea maana muda mrefu sijamuona huyu) ,
AshaDii (Uuwii sijajua yuko wapi huyu madam nimekumiss kweli) mkongwe mwingine ndiye founder wetu hahaaaaaa
Maxence Melo (uko wapi braza). ahahaaaa wadau nimewamiss kweli leteni vile viionjo vya kale tukumbushane vya kihenga ahaaaaaaaa
Wasalaamu
Ladyf