Wahenga wa JamiiForums

Konichua,

Mko wapi ma legends wenzangu wa JF?
Nimewamisi sana na siwezi kuwatag wote, plz pitieni hapa mnipe hata hi tu.

Farkhina na mapochopocho.

Mchepuko wangu Valentina, miss u sana.

Regards,
Kozo Okamoto
(The One-Star General)
Mjapani wa kikurya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…