Yaani hapa nawaza mbali mno, ilikuwa raha sanaDondola dada unawakumbk kwenye mapera na zambarau looh wamenikung'uta balaaa
Haasss. Suruali za Tokyo noma sana mkuu umenikumbusha mbali[emoji14] [emoji14]Hapo kwenye Mokasi ni za kiume za kike zilikuwa zinaitwa Skuna, sisi wanaume tulikuwa tuna suruali za Tokyo. Yaani ukivaa Tokyo we mkali, zilikuwa zina mikanda yake noma sana aisee, wadudu maarufu enzi hizo, ni panzi, fukufuku, dondora kwenye mipera, na wale wanaopatikana kwenye michongoma wana pembe kama za ngombe walikuwa wanacbezeshwa kwa kujizungusha chini pembe zao, mwisho kabisa walikwepo bruce lee walikuwa wana mapigo ya kibruce maarufu kama vunjajungu, hahahahahahahaaa nimecheka sana kwa kukumbuka enzi za wakati huo wa kucheza majoka style ni kuchezesha mabega, kwenda kibisa, na mazingaombe ya mashuleni hatari sana wakina power mabula.
Niishie hapo.
Nzuri, umeenda shule leo?[emoji3]Sijambooo habar za weekend
Hivyo vya kulia vilikuwa vya watoto wadogo sanaViatu vya kuwaka waka vingine vilikuwa vinalia kisaut fulani hiv ukikanyagia chini
ndio huko huko kilingeniLoooh shule ya kilingeni au
Labda anasemea suruali flani hivi zilikuwa na mng'ao kwa mbali...Hahaha zipojeee hizo
Walikuwa wanavaa watoto wa mjini tu enzi hizo[emoji1]na viatu vya losso
khaa![emoji1][emoji1][emoji134][emoji134]Mimi nilkuw mtundu mtaa mzima wanajua alafu kwenye ngumi enzi hizo style ya undertaker na mieleka balaaaa nilkuwa nachezesha vichapooo
wala hata sikuwa geti kali, mm nimezurula sana mtaani....ila hyo ya mtt wa kike kupigana aseee mara chache, ww hapa unanipa chai tu [emoji23][emoji23][emoji23]Geti kali sna wewe hujaona raha za dunia wengine ss watt wa kotaaa
Wami bar, CCM mwinyinjumaYaan umenikumbusha muhenga mie bila nguo mpya ya sikukuu sitoki mwananyamala kwetu tulikuwa tunaendaga kutembea mwinyijuma kule kuna kila aina ya michezo au disco toto villa kwa ujiji natamani kurudisha miaka nyuma