Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Hapo kwenye Mokasi ni za kiume za kike zilikuwa zinaitwa Skuna, sisi wanaume tulikuwa tuna suruali za Tokyo. Yaani ukivaa Tokyo we mkali, zilikuwa zina mikanda yake noma sana aisee, wadudu maarufu enzi hizo, ni panzi, fukufuku, dondora kwenye mipera, na wale wanaopatikana kwenye michongoma wana pembe kama za ngombe walikuwa wanacbezeshwa kwa kujizungusha chini pembe zao, mwisho kabisa walikwepo bruce lee walikuwa wana mapigo ya kibruce maarufu kama vunjajungu, hahahahahahahaaa nimecheka sana kwa kukumbuka enzi za wakati huo wa kucheza majoka style ni kuchezesha mabega, kwenda kibisa, na mazingaombe ya mashuleni hatari sana wakina power mabula.
Niishie hapo.
Haasss. Suruali za Tokyo noma sana mkuu umenikumbusha mbali[emoji14] [emoji14]
 
Mmmh!! Miaka gani hiyo? Nadhani ilikuwa kabla ya uhuru, hata Mama yangu kbl hajazaliwa
 
Mmmh!! Miaka gani hiyo? Nadhani ilikuwa kabla ya uhuru, hata Mama yangu kbl hajazaliwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]poooh acha uongo
 
Geti kali sna wewe hujaona raha za dunia wengine ss watt wa kotaaa
wala hata sikuwa geti kali, mm nimezurula sana mtaani....ila hyo ya mtt wa kike kupigana aseee mara chache, ww hapa unanipa chai tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan umenikumbusha muhenga mie bila nguo mpya ya sikukuu sitoki mwananyamala kwetu tulikuwa tunaendaga kutembea mwinyijuma kule kuna kila aina ya michezo au disco toto villa kwa ujiji natamani kurudisha miaka nyuma
Wami bar, CCM mwinyinjuma
 
Back
Top Bottom