Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha! Kuna Christmas moja mama yangu hadi inafika tarehe 23 sioni dalili ya nguo kununuliwa.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]heshima kwa wamama wote wa kwangu mkali ananunua kimya kimya anaficha na alikuwa anajua saiz zetu vizur sana ila anaficha sjui kwann
Poa, habariiMamboooo
Nakumbuka vinakuwa vitatu hivyo vitambaaa vi3Nakumbuka kulikuwa na vitambaa fulani vyepesi, unashona kwa kuchanganya, blauzi ya maua, suruali rangi moja...halafu unaachiwa na kakitambaa kwaajili ya kimtandio 😀 😀 😀 😀 😀
Yaani kama mhindi vilee.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku moja mama kaninunulia gauni zuri ila viatu hajanunua.
Ilikuwa IDD nikaenda masjid vizuri nilivyorudi Nimefika mlangoni tu nikaanza kulia kwa sauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nililia kama saa moja hivi akaja kunipiga maana pesa hana nikaongeza kilio, nikagoma kunywa chai, kila anachonituma nakataa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ananipiga tena nikalia hadi nikasinzia pale pale mlangoni.
Nikaamka kama saa tano hivi nikaanza kulia tena, akawa kachoka kunipiga akaanza kujifuta machozi na yeye. Akaenda sijui kukopa wapi akanipa pesa nikanunue viatu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilibidi pilau lisipikwe na kwangu haikuwa shida ilimradi skuna nimepata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha, sikumbuki kama vinakuwa vitatu..Asante kwa kunikumbusha.Nakumbuka vinakuwa vitatu hivyo vitambaaa vi3
Hahahahaa! Kamongo, umenikumbusha mbaali, dah.Wahindi style na kiatu cha kamongooo agggh
Kamongo navipata fresh, mbele kama vimechongoka flani, halafu vina nakshi nakshi za rangi tofauti, nyuma vinaacha kisigino wazi.Viatu vya kamongo unavikumbuka kama wahindi hahahhahah
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Fashion zinajirudia tu, nikiziangalia picha za dingi yangu za miaka hiyo, amepigilia mbano(modo) ya hatare utasema Peter Tosh au Bob, nami ktk ubro men nimezipiga hizohizo, ukiniona utadhani nilizivaa kwa sabuni.
Hahahahaaa! Akitembea vinawaka waka kama ambulance.Hujavaaa vile viatu vya kuwaka taaa