Wahenga wa kike: Mnakumbuka nguo za redimedi, sare sare, moka bila kisahau fukufuku

Na ukikutwa unapima unapigwa hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Halafu siku ya sikukuu Ilikuwa haifiki haraka nguo zikiwa zipo ndani
Hahahahahaah sikukuuu ilikuwa haifiki nakwambia
 
Hahahha! Kuna sikukuu moja ya Christmas mama yangu hadi inafika tarehe 23 sioni dalili ya nguo kununuliwa.

Nikaanza ooh mama mama fulani kamnunulia mtoto wake (rafiki yangu) nguo nzuri hiyo..Mama nae anaitikia kwa jeuri "sawa mwanangu"

Nikaona hapa lazima nitafute namna nguo inunuliwe (bila kujua anawaza nini)
Nimelala siku nzima najifanya naumwa, kula sili. kesho yake (trh 24) Namwona mama kabebelea mifuko, nikajua tayari.
😀 😀 😀 😀 😀 😀
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]heshima kwa wamama wote wa kwangu mkali ananunua kimya kimya anaficha na alikuwa anajua saiz zetu vizur sana ila anaficha sjui kwann
Hahahha! Kuna Christmas moja mama yangu hadi inafika tarehe 23 sioni dalili ya nguo kununuliwa.

Nikaanza ooh mama, mama fulani kamnunulia mtoto wake (rafiki yangu) nguo nzuri hiyo..Mama nae anaitikia kwa jeuri "sawa mwanangu"

Nikaona hapa lazima nitafute namna nguo inunuliwe (bila kujua anawaza nini)
Nimelala siku nzima najifanya naumwa, kula sili. kesho yake (trh 24) Namwona mama kabebelea mifuko, nikajua tayari.
😀 😀 😀 😀 😀 😀.
 
Hahahaha!! Ilikuwa inawekewa kisponge juu kidogo ya nyonga, basi ule muondoko wa kutembea unafanya nyuma kutikisike.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]muondoko wa kissta duuuh
 
Nakumbuka kulikuwa na vitambaa fulani vyepesi, unashona kwa kuchanganya, blauzi ya maua, suruali rangi moja...halafu unaachiwa na kakitambaa kwaajili ya kimtandio 😀 😀 😀 😀 😀
Yaani kama mhindi vilee.
Nakumbuka vinakuwa vitatu hivyo vitambaaa vi3
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kupatwa kwa skunaaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli kula hakuna atayejua sijala ila skuna kila mtu ataona sijavaa
Wanaume walikuwa wanapenda viatu vya kuwaka taaa usiku atapita mtaa mzima muone vinavyowaka waka
 
Viatu vya kamongo unavikumbuka kama wahindi hahahhahah
Kamongo navipata fresh, mbele kama vimechongoka flani, halafu vina nakshi nakshi za rangi tofauti, nyuma vinaacha kisigino wazi.
 
Fashion zinajirudia tu, nikiziangalia picha za dingi yangu za miaka hiyo, amepigilia mbano(modo) ya hatare utasema Peter Tosh au Bob, nami ktk ubro men nimezipiga hizohizo, ukiniona utadhani nilizivaa kwa sabuni.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halafu kwa wanaume kuna vitu walikuwa wanavaa, wenyewe wanaviita VIP
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], mhenga wa kiume anaweza nisaidia kwa hili.
Pichuuuu hahahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…