Wahenga walisema " risk nothing, gain nothing" bado unakwama wapi?

Wahenga walisema " risk nothing, gain nothing" bado unakwama wapi?

Dkt Guston

Senior Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
105
Reaction score
119
"Sasa ninaingiza kipato kizuri baada ya kusoma kitabu chako cha "MAUZO BOOSTER" nimeweza kupata mauzo endelevu na wateja ndani ya wiki moja na nusu"

Hii ni moja kati ya shuhuda niliyopokea na ninaendelea kupokea kila siku kutoka kwa watu waliosoma kitabu changu cha MAUZO BOOSTER na bado wanaendelea kua na muendelezo mzuri wa kua na mauzo mazuri kila siku

Inawezekana na wewe unasumbuliwa na tatizo la kushindwa kufanya mauzo au kupata mauzo endelevu katika biashara yako, Yamkini ukiangalia vizuri hakuna kitu cha maana ulichofanya baada ya kufungua biashara yako kwa kukosa mauzo na wateja

Inawekena na wewe umekuwa na wakati mgumu sana kufikia malengo yako ya kifedha kwa kushindwa kujiwekea akiba kwa kukosa mauzo
Inawezekana kila siku unaona shuhuda za wengine na huchukui hatua.

Swali la msingi ni nini?

"Je nini unafanya kutoka hapo ulipo?"

"Je umeweka mkakati thabiti wa kujikusanyia maarifa sahihi yaweze kukuvusha hapo ulipo?"

Changamoto ya elimu ya fedha huwaifundishwi kwa kina shuleni.

Leo unayo machaguo mawili makubwa.

1) Ubaki kuendelea kusumbuka na madeni na kushindwa kufikia malengo yako ya kifedha.

2)Au ujinyakulie KITABU cha MAUZO BOOSTER kitakachokusaidia kuweza kuondokana na matatizo yako ya kukosa wateja.

Kama jibu lako ni ndio pitia hii thread [emoji116]
 
Hao akina MO, sijui kama wanapataga muda wa kusoma vitabu,anyway,ongezea na The richest man in Babylon.
 
Hao akina MO,sijui kama wanapataga muda wa kusoma vitabu,anyway,ongezea na The richest man in Babylon.
Billgates ana list ya vitabu ambavyo kwa mwaka lazima avisome

Kusoma vitabu ni chakula ya ubongo
 
Back
Top Bottom