KumbeCDF mstaafu
Najaribu kukuelewa ila nashindwa, labda nna hangover.Wewe unaweza kuwa muwenga wa tukio mfano mwizi kakuibia sana kwa matukio yale uwezi kusema jambo kufundisha wengine mda ambao ulishakutokea.
Fafanuaaa....!! Nchi inaendeshwa na wasjauri wa vyombo ulinzi kwa sasaWanaume ni tofauti sana yani kama kuna maamuzi yako,jambo lako tambua hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukubeba wala kukupa mwongozo.
Ila kwa mwanamke yani anapewa muongozo na maamuzi anakupa wewe mwanaume.
Tokea ile kauli ya mabeyo na sasa umepata picha kuwa nguvu za wanawake wanabebwa na wanaume.