SumadaVinci
Senior Member
- Dec 27, 2018
- 161
- 328
Ili kuzielewa methali, misemo na nahau hizi za wahenga inabidi kwanza kujua muktadha halisi na mazingira katika nyanja zote za maisha yao wakati walipozitunga. Na nyingine maana yake halisi huwa imejificha sana mpaka uchimbue kwa ndani.Sio kila wahenga wanakuaga na maneno ya ukweli ...wahenga wengine ni waongo tu
kwa mfano aliyesema
"MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI"
sasa mtu ushamnyonga amekufa hiyo haki yake unampaje
endeleza nawe wahenga wako waongo[emoji28][emoji28][emoji28]