Nyamisangura
Member
- Jan 4, 2018
- 87
- 107
Natamani DJ Jd aanzishe kipindi kwenye Television kiwe kimejikita nyimbo za flashback huku akialika wakongwe wa miaka hiyo wakishusha mastori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani DJ Jd aanzishe kipindi kwenye Television kiwe kimejikita nyimbo za flashback huku akialika wakongwe wa miaka hiyo wakishusha mastori
Umerudisha kumbukumbu zangu mbaliKuna jamaa alikua anajiita "Old timer Kitenge"alikua na kipindi kama hicho kilikua kinaitwa juke box pale EATV! ..naona watu wazima walikua wanakipenda sana!! Sijui jamaa yupo wapi yule labda alikua na haki miliki na kipindi kile so kaondoka nacho
Peter Mo anapiga pale East 24 Mikocheni ni motooo. Kila jmosAu Peter Mo wa clouds fm