Wahenga wenzangu

Wahenga wenzangu

Nyamisangura

Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
87
Reaction score
107
Natamani DJ Jd aanzishe kipindi kwenye Television kiwe kimejikita nyimbo za flashback huku akialika wakongwe wa miaka hiyo wakishusha mastori
 
Kuna jamaa alikua anajiita "Old timer Kitenge"alikua na kipindi kama hicho kilikua kinaitwa juke box pale EATV! ..naona watu wazima walikua wanakipenda sana!! Sijui jamaa yupo wapi yule labda alikua na haki miliki na kipindi kile so kaondoka nacho
 
Umerudisha kumbukumbu zangu mbali
 
Back
Top Bottom