CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini.
Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato wa Kura za maoni jimboni kwake KALIUA, Hivyo Mhe. Magdalena Sakaya ndiyo Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu jimbo la KALIUA.
Pia, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi CUF Mhe. Abdul Kambaya ameshinda kwa kishindo katika Jimbo la Mbagala. Hivyo, Mhe. Abdul Kambaya ndiyo mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Wananchi CUF.