Uchaguzi 2020 Waheshimiwa Maftah Nachuma, Magdalena Sakaya na Abdul Kambaya kupeperusha bendera ya CUF Mtwara Mjini, Mbagala na Kaliua

#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini.

Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato wa Kura za maoni jimboni kwake KALIUA, Hivyo Mhe. Magdalena Sakaya ndiyo Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu jimbo la KALIUA.

Pia, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi CUF Mhe. Abdul Kambaya ameshinda kwa kishindo katika Jimbo la Mbagala. Hivyo, Mhe. Abdul Kambaya ndiyo mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Wananchi CUF.
Cuf ndo bye bye tena
 
Kwa jinsi mlivyo mujibu harudi hata kuweka reply, keshakimbia tayari
 
Sakaya hapa kaliua kaisha nyea kambi. Kura za , imala upina. Makubi,zugimlole. Kangeme, lumbe,ugala na tisini azisahau.

Haiwezekani maafisa wanyama pori wanaua watu hovyohovyo maeneo hayo halafu yeye yupo tuuu, hata kutoa kauli hakuna.

CUF Habari muulizeni kama habari hizi hazifahamu.
 
CUF?

Lipumba?

Matakor yenu!
Afadhali Lipumba ana msimamo wake; hata kama ni msimamo mbaya lakini anajulikana. Ila mtu kama Shariff Hamad kweli hata huwezikujua anasimamia wapi. Mara Cuf, mara ACT mara CCM Umoja wa Kitaifa ili awe makamo wa pili wa Raisi asiye na meno.; yaani lolote lijalo kwake sawa tu mradi linampa mwanya
 
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini.

Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato wa Kura za maoni jimboni kwake KALIUA, Hivyo Mhe. Magdalena Sakaya ndiyo Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu jimbo la KALIUA.

Pia, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi CUF Mhe. Abdul Kambaya ameshinda kwa kishindo katika Jimbo la Mbagala. Hivyo, Mhe. Abdul Kambaya ndiyo mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Wananchi CUF.

Chama hakina mvuto.
 
Acha kujitoa fahamu, alikimbia mapambano uchaguzi 2015 na kwenda burundi kula bata, mataga
 
Acha kujitoa fahamu,lipumbav alikimbia mapambano uchaguzi 2015 na kwenda burundi kula bata,mataga
Nimemfahmu Lipumba tangu mwaka 1995 kama mgombea wa CUf na mpaka leo bado ni mgombea wa CUF tu. Hiyo sabbatical aliyochukuwa kwa ajili ya mradi wa World bank haikumwondoa CUF na ilikuwa ni baada ya Uchaguzi.
 
2015 alikuwa wapi kipindi cha uchaguzi na kampeni?
 
Mwaka 1995- Mgombea CUF Lipumba
Mwaka 2000- Mgombea CUF Lipumba
Mwaka 2005- Mgombea CUF Lipumba
Mwaka 2010- Mgombea CUF Lipumba
Mwaka 2015- Mgombea CUF Lipumba
 
Ww kweli mataga
Nimekosea wapi. Leta ukweli wako kama kuna sehemu nimekosea unikosoe lakini nina uhakika wa mia kwa mia kwa hicho nilichoweka hapo kuhusu uhusiano wa Lipumba na CUF.
 
Afadhali Lipumba ana msimamo wake; hata kama ni msimamo mbaya lakini anajulikana. Ila mtu kama Shariff Hamad kweli hata huwezikujua anasimamia wapi. Mara Cuf, mara ACT mara CCM Umoja wa Kitaifa ili awe makamo wa pili wa Raisi asiye na meno.; yaani lolote lijalo kwake sawa tu mradi linampa mwanya
Acha vituko wewe

Maalimu alikua CUF,kaja Lipumba kuharibu,hawezi kaa pale maana Lipumba tayari ni compromised na CCM

Kwenda ACT is a logical move!

Maalim has always been a core opposition figure,sio some stupid mavimavi kama Lipumba!

Uamuzi wa Maalimu ni always outstanding....always!

Kabla ya vyama vingi everybody was in CCM

Baada ya 1992 Maalim hajawahi kua CCM,acha kumuwekea tuhuma wewe!

Kichuguu geuka kua Mlima acha unaa wa kusingizia watu!

Lipumba ni CCM na yupo compromised nao,katumwa kuua CUF which is a very disingenuous move by him!

Maalim has always been an outstanding guy,always!
 
#HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini.

Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato wa Kura za maoni jimboni kwake KALIUA, Hivyo Mhe. Magdalena Sakaya ndiyo Mgombea wa Ubunge katika Uchaguzi mkuu wa mwaka huu jimbo la KALIUA.

Pia, Mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la Chama cha Wananchi CUF Mhe. Abdul Kambaya ameshinda kwa kishindo katika Jimbo la Mbagala. Hivyo, Mhe. Abdul Kambaya ndiyo mgombea wa Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Wananchi CUF.
MWAKA HUU UBUNGE MTAUSIKIA TU.CUF WA HOVYO SANA
 
kapuya anarudiiii huyo sakaya apelike sauti yake kanisani
 
Back
Top Bottom