wilaya ya morogoro liko mvuha njia panda kusini kwenda ngerengere chalinze Dar Masaa ma4, kushoto matombo mkuyuni morogoro masaa 2,kulia dutumi kisaki stiglas masaa 2
lina hati ya kimila limepimwa na GPS limelimwa mara 2 tu ilikua shamba pori limesafishwa kwenda mto ruvu ni kilometa 1 na nusu.