Wahindi na waarab Facebook

Ungeweka body zima nadhani day one ungepata request 1000
 
H
Hao ni kiboko wasumbufu sana
 
Weka picha uliyoweka kule fb

Nenda kwenye vile vimstari vitatu upande wa kulia ukiminya itatokea akaunti yako nayo bonyeza zitatokea settings.. Minya kwenye account settings ndo utakitana na maelezo huko
Nisaidie na mimi namna ya kufuta account ya Fesibuku.....siihitaji kwakweli
 
Hahahaa kumbe.. Wanapata tabu sana
 
Nenda kwenye vile vimstari vitatu upande wa kulia ukiminya itatokea akaunti yako nayo bonyeza zitatokea settings.. Minya kwenye account settings ndo utakitana na maelezo huko
Ooh ahsante!!! Hebu nijaribu rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…