Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
[emoji23][emoji23]Kingereza chenyewe hawajui. Wakija dm utasikia "send you are pussy /show"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kingereza chenyewe hawajui. Wakija dm utasikia "send you are pussy /show"
Unitumie friend requestKweli. Ndo nataka nifungue nyingine
Ungeweka body zima nadhani day one ungepata request 1000Sijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online
Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja
Basi nkaona nije kuandaa wateja wengine facebook.. Nimedownload account jana nkafungua baada ya masaa machache kimya. Nlipoamua kuweka picha tu nakuta friend request 200
Sawa nkawakubalia ila shida sasa ni wahindi na waarab. Yani mda wote ni ngrrngrr utadhani nimekua customer care.. Ubaya wake wanaongelea ngono tu..
Video calls mda wote simu haizimi
Wanatuma picha za uchi kama wehu
Nkajiuliza vjpi nimeeka sura tu?
Nikimblok huyu mwingine anafuatia.. Nimeblok hadi nimechoka bado tu halafu hadi vibabu
Nikaamua nifute picha bado wanakuja
Nimeamua tu nifute akaunti
Hivi sasa napumua
Hivi kwenu wengine inakuwaga hivihivi?
Eeh mama.. tusifike mbali kilikuja na meli hicho kidhungu.. 🏃 🏃 🏃Kwani hapo mkuu amesema atumiwe pussy?
Hao ni kiboko wasumbufu sanaSijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online
Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja
Basi nkaona nije kuandaa wateja wengine facebook.. Nimedownload account jana nkafungua baada ya masaa machache kimya. Nlipoamua kuweka picha tu nakuta friend request 200
Sawa nkawakubalia ila shida sasa ni wahindi na waarab. Yani mda wote ni ngrrngrr utadhani nimekua customer care.. Ubaya wake wanaongelea ngono tu..
Video calls mda wote simu haizimi
Wanatuma picha za uchi kama wehu
Nkajiuliza vjpi nimeeka sura tu?
Nikimblok huyu mwingine anafuatia.. Nimeblok hadi nimechoka bado tu halafu hadi vibabu
Nikaamua nifute picha bado wanakuja
Nimeamua tu nifute akaunti
Hivi sasa napumua
Hivi kwenu wengine inakuwaga hivihivi?
Eeh mama.. tusifike mbali kilikuja na meli hicho kidhungu.. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ndio unielekeze sasa mkuu au inahitaji malipo?Mboan simpo sana mkuu mimi nilishafuata ajaunti kama 13
Sijatumia huu mtandao miaka mingi..basi nkapata plan ya biashara ila nkapanga nibase kotekote.. Yani physical na online
Nimeanza na instagram japo sijaweka picha.angalau followers wanakujakuja
Basi nkaona nije kuandaa wateja wengine facebook.. Nimedownload account jana nkafungua baada ya masaa machache kimya. Nlipoamua kuweka picha tu nakuta friend request 200
Sawa nkawakubalia ila shida sasa ni wahindi na waarab. Yani mda wote ni ngrrngrr utadhani nimekua customer care.. Ubaya wake wanaongelea ngono tu..
Video calls mda wote simu haizimi
Wanatuma picha za uchi kama wehu
Nkajiuliza vjpi nimeeka sura tu?
Nikimblok huyu mwingine anafuatia.. Nimeblok hadi nimechoka bado tu halafu hadi vibabu
Nikaamua nifute picha bado wanakuja
Nimeamua tu nifute akaunti
Hivi sasa napumua
Hivi kwenu wengine inakuwaga hivihivi?
Nisaidie na mimi namna ya kufuta account ya Fesibuku.....siihitaji kwakweli
from my experience wateja fb wanapatika sana kwnye grups za kuuza na kununua na sio kwnye page yako.
Kawaida ya wahindi, mazuzu flani..
Izo nchi wanawake ni wachache sana na mwanaume kuwa na mwanamke bila ndoa ni kosa lajinai autakiwa mwanaume ufanye mapenzi bila ya kufunga ndoa inshort uzinzi kule ni kosa pia kumuangalia mwanamke usoni kama si mke wako ni kosa la jinai nchi kama Bangladesh,Iran,India na Saudi arabia ni bala uko na ndomana wanaume wao wana ny*ge sana unakuta mwaname ana miaka 35 ajawai kut*mb*n* ni shida uko sio kama Africa.
Ooh ahsante!!! Hebu nijaribu rafiki.Nenda kwenye vile vimstari vitatu upande wa kulia ukiminya itatokea akaunti yako nayo bonyeza zitatokea settings.. Minya kwenye account settings ndo utakitana na maelezo huko
[emoji23][emoji23][emoji23] mkavu ka mamake diamondUngeweka body zima nadhani day one ungepata request 1000
[emoji23] haya subiriUnitumie friend request
AiseeeAisee
Sawa[emoji23] haya subiri
Kwao sheria zinawabana.. Wamehamia africa kumaliza nygH
Hao ni kiboko wasumbufu sana