Wahindi na Wanigeria: Kwanini hizi jamii zipo mbali kielimu na kiuchumi?

Wahindi na Wanigeria: Kwanini hizi jamii zipo mbali kielimu na kiuchumi?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Ebu leo naomba tuangalie hizi jamii mbili katika ya wahindi na wanaigeria hivi kwanini awa watu wanapiga atua.

Pia uwezi kwenda sehemu ukamkosa kati ya awa watu wawili pia ukiangalia ata kwenye utajiri wa Dunia wapo aiseee. Hizi jamii mbili kwakweli zipo mbali kimaendeleo ata kielimu na kiuchumi.

Japo mpk sasa sijui jamii ipi kati ya hizi mbili iko juu zaidi kwenye kutafuta na mafanikio dunia
 
Nchi hizi zina idadi kubwa ya watu, Nigeria mfano ni karibu mara 4 ya idadi ya watanzania, wakati India wapo bilioni 1.5 hivi (milioni 1500)!, karibu mara 30 ya watanzani!

Hivyo mbinyo wa maisha ni mkubwa mno na ndio maana utawakuta karibu kila mahali duniani lakini bado hata hivyo wachina wametapakaa zaidi ya wahindi.
 
Muhindi kamuacha mbali sana Mnijeria,hapo ni sawa na kufananisha Faru dume FC na Real Madrid ya Spain.
kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.

Wahindi wapo juu ya wanigeria kuanzia pesa mpaka elimu.
kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.

kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.

Mada inahusu Worldwide na sio US peke yake.
 
Mhindi yupo juu but Nigerian coming up with high speed without break na wanakupiga kwa lolote hata utapeli
hakika wanaijeria wanakuja speed, mfano kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.

Nigeria nchi ya hovyo sana kwa matukio mengi ya hovyo na umasikini uliokithiri , India napo kuna umasikini mkubwa kwa kundi kubwa la watu mataifa yote haya mawili yana athiriwa na utitiri wa watu .

Hitimisho: lakini sio sahihi kuiweka kapu moja India taifa nambari 5 kiuchumi duniani na taifa ambalo hata top 10 ya uchumi dunia halipo[ Nigeria ] kwa ujumla India na Nigeria ni mbingu na ardhi.
 
Tatizo tunalelewa kimama mama Magufuli angekuwepo mpaka leo na hasinge ajiri vijana kwenye Vyombo vya ulinzi, Ualimu, Udaktari lazima Vijana akili ingetukaa sawa na tungedili mtazamo wa kifikra Ajira ni Serikali naamini Vijana tungeenda kutafuta maisha nje ya Ajira za Serikali ambazo zinatufanya tuwe masikini. wageni wawe matajiri kwa kujiajiri.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
najiuliza ni kwanini wanigeria wako vyema sana ktk IT na computer science!!!!

hata wahindi wamejaa sana youtube.
 
Back
Top Bottom