kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.Muhindi kamuacha mbali sana Mnijeria,hapo ni sawa na kufananisha Faru dume FC na Real Madrid ya Spain.
kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.Wahindi wapo juu ya wanigeria kuanzia pesa mpaka elimu.
Mada inahusu Worldwide na sio US peke yake.kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.
Data show Nigerians the most educated in the U.S.
For Woodlands resident David Olowokere, one of Nigeria's sons, having a master's degree...www.chron.com
hakika wanaijeria wanakuja speed, mfano kwenye elimu waaijeria ndio kundi lililoelimika zaidi marekani kuliko hata wahindi, ishu ni kwamba wahindi wapo wengi sana maana nchi yao tu ina watu bilioni 1.4 huku Nigeria ni milioni 200.Mhindi yupo juu but Nigerian coming up with high speed without break na wanakupiga kwa lolote hata utapeli