Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna madhara mengi ya kuacha au kupoteza maadili n a tamaduni

MADHARA YANAYOATHIRI UCHUMI

Kupoteza nguvu kazi ,taifa endelevu hujengwa na vijana ambao kimsingi hupikwa na tamaduni ikiwa vijana wataishi kwenye nyimbo za mapenzi,ulevi na anasa taifa litazalisha wavuta bangi ,wasagaji na machoko kama iulivosasa hatimae kushindwa kuzalisha kipato na kushindwa kuipa serikali stahiki yake kuanzia nguvu kazi,mapato n.k

MADHARA YA KISIASA
Wanasiasa mara nyingi huwa ni fans/membership au vote base hivyo wanacheza kulingana na mdundo wa ngoma inavyopigwa na wao kwa kiasi kikubwa huathiri jamii na maadili kwa ujumla ila unapovuruga mfumo wa maadili tujuefika point hurudi pale inapoanzia, athari za siasa hujulikana kuwa ni vita, chuki na vurugu zisiokwisha ila kama maadili yatakuwa ni tulivu ni kweli pasi na shaka kuwa nchi itakuwa imeshwarika.

KWA UJUMLA TULINDE MAADILI ILI KUTUNZA AMANI, UTULIVU WA UCHUMI, SIASA NA JAMII.
 
Back
Top Bottom