jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu umemaliza kabisa.sio kila mzungu ni padre. hawa wazungu sidhani hata kama wanaweza kupiga danadana.
sina CV zao nimewatathimi kwa kuwaangalia tu wanaonekana ni wazugaji tatizo letu tunadhani kila mzungu ni mtaalamHebu weka CV zao basi tuzione!
Mi naona tatizo la Azam fc ni wachezaji ndo hawana viwango vya kuchezea timu hiyo , yaani jina la timu Kubwa kuliko wachezaji
Unataka wasajili kina Suarez ?
hapana wachezaji viwango vya TP Mazembe at least maana hela si wanayo? hawatakiwi kabisa kugombea wachezaji na simba/ yanga
Yaani hata kikosi cha yanga kilikuwa bora kuliko wao
Duh naye kumbe jipu.!Stewart amesema hana uwezo zaidi wa kuifikisha Azam fc zaidi ya hapo ilipo
Mimi namsikitikia tu Domayo kwenda huko Azam.Kavumbangu,Domayo walikuwa wachezaji wazuri Yanga,Azam wameenda kumaliza viwango vyao.Kapombe,Wawa ndio waliofanya vizuri Kipre Cheche ameshakuwa mswahili
Dogo alidanganywa vibaya, mwache dunia imfundishe sasa,Mimi namsikitikia tu Domayo kwenda huko Azam.
Yanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tenaDogo alidanganywa vibaya, mwache dunia imfundishe sasa,
Kuna yule mwingine nae Singano ndio kwishney.
Yanga chama kubwa na ndio hivo tunaenda kwenye Makundi Shirikisho asubiri kumuona Mwashiuya na Msuva wakifanya yao
Duh naye kumbe jipu.!
Vipi kuhusu Wataliano,makocha ambao wanalifahamu soka la Africa wanatoka France,Serbia na nchi nyingine za Ulaya Mashariki
Mkuu beno, tatizo sio yanga kuchelewa kumpa mkataba, Yanga walimuendea ili aongeze mkataba yeye akawaambia wasubiri kwanza mpaka arudi Mjomba yake ambae alikuwa amesafiri, ila hazikuchukua siku nyingi Azam wakampa mkataba. Labda uniambie kuwa Azam walitia mkono wao mpaka dogo akaanza kuzingua. Hatokuja afanye vizuri tenaYanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tena
Yanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tena
Hiyo ndio basi tena Stewart Hall.!kajitumbua mwenyewe baba wa watu, na Leo hao makocha wapya wameonekana jukwaani Mkwakwani