Wahispaniola watua kuinoa Azam FC , Stewart Hall bye bye

Unataka wasajili kina Suarez ?

hapana wachezaji viwango vya TP Mazembe at least maana hela si wanayo? hawatakiwi kabisa kugombea wachezaji na simba/ yanga

Yaani hata kikosi cha yanga kilikuwa bora kuliko wao
 
Kavumbangu,Domayo walikuwa wachezaji wazuri Yanga,Azam wameenda kumaliza viwango vyao.Kapombe,Wawa ndio waliofanya vizuri Kipre Cheche ameshakuwa mswahili
 
Kavumbagu
Wanga
Ame Ally
Must Go.
Atafutwe partner mzuri wa Kipre., Boco kachoka.

Bolou,mwantika,Kimwaga ,domayo wawe kwenye danger zone.
 
Kavumbangu,Domayo walikuwa wachezaji wazuri Yanga,Azam wameenda kumaliza viwango vyao.Kapombe,Wawa ndio waliofanya vizuri Kipre Cheche ameshakuwa mswahili
Mimi namsikitikia tu Domayo kwenda huko Azam.
 
Dogo alidanganywa vibaya, mwache dunia imfundishe sasa,
Kuna yule mwingine nae Singano ndio kwishney.
Yanga chama kubwa na ndio hivo tunaenda kwenye Makundi Shirikisho asubiri kumuona Mwashiuya na Msuva wakifanya yao
 
Yanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tena
 
Mtoa post acha uongo.... Hawa makocha hawajawahi kufundisha Tenerife..... Wemetokea timu ya daraja LA 3 ...inaitwa Santa Ursula.... Azam wenyewe kwenye website yao ...wamesema ametokea Santa Ursula....sasa wewe kutuambia katokea Tenerife sijui ili iweje
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-15-21-48-58.png
    Screenshot_2016-05-15-21-48-58.png
    100.9 KB · Views: 27
Taarifa ya Azam inasema wanatokea timu ya daraja LA tatu Deportivo Santa Ursula..... Tenerife umewatolea wapi mjomba.... Punguza kahawa
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-15-21-54-26.png
    Screenshot_2016-05-15-21-54-26.png
    73.2 KB · Views: 24
Vipi kuhusu Wataliano,makocha ambao wanalifahamu soka la Africa wanatoka France,Serbia na nchi nyingine za Ulaya Mashariki

Ni kweli mkuu italia pia nimeisahau, nashkuru umenikumbusha
 
Yanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tena
Mkuu beno, tatizo sio yanga kuchelewa kumpa mkataba, Yanga walimuendea ili aongeze mkataba yeye akawaambia wasubiri kwanza mpaka arudi Mjomba yake ambae alikuwa amesafiri, ila hazikuchukua siku nyingi Azam wakampa mkataba. Labda uniambie kuwa Azam walitia mkono wao mpaka dogo akaanza kuzingua. Hatokuja afanye vizuri tena
 
Yanga walizembea kumuongeza mkataba mapema,Azam wakaenda kumuwahi akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars.Ni mmoja ya wachezaji niliowakubali sana akiwa Yanga.Ujio wa Kamusoko umefanya watu wamemsahau kabisa siku hizi hata Stars hayupo tena
 
..yani hawa makocha ndio wanachukua nafasi ya Stewart Hall?..huko walikotoka walikua makocha wakuu au?,..azam inahitaji kocha mzoefu na soka la africa,tusubiri tuone
 
Back
Top Bottom