kitu hauna maslahii nacho unatangaza tu!
sasa kama kawatunuku lakini wenyewe hawajahitimu wapo nyumbani wewe unakomaa tu!
ila ndio tulivyo wa tz jambo dogo utalikuza iliwatu waonekane wabaya maofisini wafukuzwe kazi
wakati hili nijambo dogo la kumalizika, sijui mnapenda watu wafukuzwe kazi
mkuu sina elimu hiyo kubwa sana!hilo sio jambo dogo. we utakuwa first year bila shaka.
Nimesikitishwa sana na kuona wahitimu wasio na sifa kutunukiwa shahada zao bila kufanya mitiani yao ya mwaka wa tatu hata mmoja. ...................hii ni usibitisho tosha ma Profesa wetu kwa kweli waliopo kipind hk wanatia shaka sana katika elimu ya kizazi kijacho