Mwalimuwao
Member
- Apr 22, 2011
- 14
- 0
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga
Acha wivu wa kike wewe
mkuu ukweli bila ushahidi!wewe mwenzetu unafikiria kwa kutumia nini?hah ha ha ha mleta mada umenifurahisha sana.kuna maada hapa watu walikuwa wanaisema mzumbe.subiri waje wahaga wa udsm,umewaambia ukweli ila watakushambulia kwani ukweli unauma sana.
kumbe ni IMANI, katika suala la kuamini, huwa hamna option ya kuchambua kitu zaidi ya kufuata unachokiaminiaiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga
Wewe utakuwa ulidiscoChuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa saba na nusu Mchana Jumamosi ya tarehe 3 November,2012.
Bahadhi ni hawa:
1.Jongo Nasra (shule ya habari SJMC (UDSM))
2. Oliver (Shule ya habari SJMC (UDSM)
na wengine wengi
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa saba na nusu Mchana Jumamosi ya tarehe 3 November,2012.
Bahadhi ni hawa:
1.Jongo Nasra (shule ya habari SJMC (UDSM))
2. Oliver (Shule ya habari SJMC (UDSM)
na wengine wengi
Una ushahidi na unachosema ww?Acha wivu wa kike wewe
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga
hizi ni products za ud..system nzima ya elimu tz imeoza!!! na si ud tu kuna vingine vingi sana hatujavijua....katika vyuo nnavyo viamini tz udsm ipo ila kama alichosema mtoa mada ni ukweli sijui tunaelekea wapi!!! au ndo the fall of udsm....mi napita tu..
claim kama hizo kuhusu chuo chochote hata SAUT or Ifm o chuo chochote pasi na ushahidi wowote ni upuuzi, usiamke 2 na ku conclude chuo flan kinatoa Vyet hewa kwasababu zako binafsi. That's all i'm sayin
haaa!!...toooba!!Hii habari nilisikia kwenye Redio jana.