Wahitimu hewa chuo kikuu cha dar es salaam 2012

Mwalimuwao

Member
Joined
Apr 22, 2011
Posts
14
Reaction score
0
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa saba na nusu Mchana Jumamosi ya tarehe 3 November,2012.

Bahadhi ni hawa:
1.Jongo Nasra (shule ya habari SJMC (UDSM))
2. Oliver (Shule ya habari SJMC (UDSM)

na wengine wengi
 
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga
 
Hah ha ha ha mleta mada umenifurahisha sana.Kuna maada hapa watu walikuwa wanaisema Mzumbe.Subiri waje wahaga wa Udsm,umewaambia ukweli ila watakushambulia kwani ukweli unauma sana.
 
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga

Who is Mukandala bwana?Mtasema system ime-misbehave!
 
hah ha ha ha mleta mada umenifurahisha sana.kuna maada hapa watu walikuwa wanaisema mzumbe.subiri waje wahaga wa udsm,umewaambia ukweli ila watakushambulia kwani ukweli unauma sana.
mkuu ukweli bila ushahidi!wewe mwenzetu unafikiria kwa kutumia nini?
 
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga
kumbe ni IMANI, katika suala la kuamini, huwa hamna option ya kuchambua kitu zaidi ya kufuata unachokiamini
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimewatunuki shahada wanafunzi wasio na sifa katika mahafali ya arobaini na mbili Kwa minajili ya kutunikisha Digrii za awali, Stashahada na vyeti kikundi cha pili saa saba na nusu Mchana Jumamosi ya tarehe 3 November,2012.

Bahadhi ni hawa:
1.Jongo Nasra (shule ya habari SJMC (UDSM))
2. Oliver (Shule ya habari SJMC (UDSM)

na wengine wengi
Wewe utakuwa ulidisco
 
vilaza cjui lini mtaacha kuichukia UDSM
 
Una ushahidi na unachosema ww?Acha wivu wa kike wewe
aiseee babaangu unacho sema unauwakika nacho au unaropoka 2 mimi naamini prof makandala na timu yake awawezi kufanya huo ujinga

hizi ni products za ud..system nzima ya elimu tz imeoza!!! na si ud tu kuna vingine vingi sana hatujavijua....katika vyuo nnavyo viamini tz udsm ipo ila kama alichosema mtoa mada ni ukweli sijui tunaelekea wapi!!! au ndo the fall of udsm....mi napita tu..
 
claim kama hizo kuhusu chuo chochote hata SAUT or Ifm o chuo chochote pasi na ushahidi wowote ni upuuzi, usiamke 2 na ku conclude chuo flan kinatoa Vyet hewa kwasababu zako binafsi. That's all i'm sayin
 
Hii habari nilisikia kwenye Redio jana.
 
Back
Top Bottom