connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Hawatakuelewa watakufa na tai shingoni huku wamezing`ang`ania bahasha za kaki mikononiNi fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji ktaaani ndio/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS
Kuna jamaa hapa niliita gari la wauza maji waje kunijazia tank za maji, sasa yule jamaa ndiye anapanda juu kuconnect pipes yani sijui tumwite tingo akawa ananiambia kuwa alisoma SAUTI mass com.Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndio/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS.
Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
View attachment 2413147
Maendeleo hayana chamaBora nibet
Hili nalo tutalitazamaNi fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndio/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS.
Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
View attachment 2413147