Wanafunzi wahitimu kutoka Vyuo vikuu wametakiwa kuwa mabarozi wazuri wa maadili, nidhamu na maendeeleo kwakutumia elimu na teknologia waliyoipata kuleta suluhisho kwa changamoto za jamii na siyo kutumia vibaya kwa kudharirisha wengine kwenye mitandao ya kijamii.
Akizungumza katika mahafali ya 46 ya chuo kikuu cha sokoine cha kilimo sua yaliyofanyika katika viwanja vya Edward Moringe Sokoine mjini Morogoro Kamishna msaidizi wa polisi Simon Haule amesema kuwa Wanafunzi waliohitimu wanapaswa kuwa mabarozi wazuri wa nidhamu na maendeeleo na kutumia elimu hiyo kutoa elimu kwa jamii.
Kwa upande wake Shaidu shafii Rais wa serikali ya Wanafunzi Sua amewahamasisha Wanafunzi wahitimu kutumia elimu yao waliyoipata kwenda kusaidia jamii kupitia fani zao
mit