KERO Wahitimu wa Chuo cha Afya Kilimanjaro (KICHAS) hatujapata vyeti, tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika.

Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa chuo wanasema kwenye vyuo vilivyopata vyeti chetu hakipo kwa sababu kilisahaulika wakati wanaprint vyeti.
 
Wapeleke mahakamani
 
Uzembe ulioje, Hiyo ni kwa Course zote?
 
Mimi ni mmoja wa Wahitimu wa Kilimanjaro College of Health and Allied Sciences (KCHAS) ambao tulikamilisha masomo yetu Agosti 2025/2026 na kutimiza masharti yote ya kuhitimu kwa mujibu wa taratibu za chuo na mamlaka husika, hata hivyo, hadi sasa hatujapokea vyeti vyetu vya taaluma, jambo ambalo limetuletea changamoto kubwa katika maisha yetu ya kitaaluma na kikazi.

Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia suala hili kupitia uongozi wa chuo chetu mara kwa mara, lakini hatujapata majibu ya uhakika kuhusu lini vyeti vyetu vitatolewa. Aidha, tumefika na kuwasiliana na NACTVET ili kupata ufafanuzi wa suala hili, lakini bado hatujapata majibu ya kuridhisha yanayoweza kutupa mwelekeo wa uhakika.

Kutokana na hali hii, sisi wahitimu tupo njia panda kwani hatujui ni mamlaka ipi inayohusika moja kwa moja na utatuzi wa changamoto hii. Kukosekana kwa vyeti kumeathiri uwezo wetu wa kuomba ajira, kuendelea na masomo ya juu, pamoja na kutumia sifa zetu za kitaaluma kwenye fursa nyingn

Mkuu wa chuo hana majibu ya moja kwa moja, anasema ni kazi ya NACTVET kupeleka vyeti chuoni....NACTVET walituambia vyeti vitatengenezwa mwezi wa tano na tutapewa mwezi wa sita mwanzon lakini hadi sasa kimya

Tumehitimu mwezi Agosti 2025, vyeti ilitakiwa tuvipate tangu Desemba baada ya matokeo.
 
hukuwa na supplementary yoyote?
 
Back
Top Bottom