KERO Wahitimu wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Newala (Septemba 2025) hawajapewa vyeti mpaka leo na wahusika hawatoi maelezo ya kutosha

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni.

Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo bila kutupa sababu jambo linalopelekea kupitwa na fursa mtaani
 
Poleni kwa changamoto, vipi mmewahi wasilisha hiyo changamoto NACTVET
 
Waache upuuzi hao. Ebu wasilianeni na NACTVET
 
Haki haiombwi, inadaiwa. Acheni kulia lia, chukueni hatua, wapelekeni mahakamani mdai vyeti na fedha za fidia. Hakikisheni mna matangazo ya kazi mlizoshindwa kuomba sababu ya kukosa vyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…