@Mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.