Pigizaneni kelele huko,lkn mwisho wa cku ukweli unabaki pale pale kwamba udsm hailinganishwi na chuo kama dit,udsm hadhi yake ni cape town,makerere na cairo university.
huko st joseph kumejaa waliofeli tu form six ,,, tena hata usiongee kitu mkuu... bora ukae kimya tu unaposikia udsm COET inatajwa....
huko st joseph kumejaa waliofeli tu form six ,,, tena hata usiongee kitu mkuu... bora ukae kimya tu unaposikia udsm COET inatajwa....
@Mwanamabadiliko Teh teh teh teh! nadhani wewe umesoma UDSM Engineering ndo maana uko sharo hivi! Nakuuliza hivi ndivo mnafundishwa kufikiri? Mtoa mada ameongelea product kutoka DIT ni bora kuliko zile za UDSM! Maabara hata zingekuwa milioni moja kama Teaching methodology/techniques ni mbovu kama za Udsm utatoka mtupu! nilifanya field na dent wa Udsm electrical 3year kule mgodini Bulyanhulu shinyanga mwaka 2008 nilibaki mdomo wazi,hajui kutumia analog wala Digital multimeter nikimwambia pima in foward/reverse diode mweupee!
Nikupe kidogo tu ushindi wa D.I.T,mfano nafundishwa ku-design circuit ya kupeform a certain task,kwanza nitapigwa theory na reference za kutosha na calculations si unajua wakali wa hesabu wako DIThaendi mtu yeyote kama alifeli hesabu labda wale wanaosoma short course za kidada eg IT for one year,baada ya kujua kwa undani components kama Transistors zina behave vipi tunaanza design kila mtu anapewa uwanja wake ili kazi zisifanane mfano aina gani ya transitor utumie kwenye circuit yako BeTa in 50-100 utajikuta kila mtu ana component zenye value tofauti lakini lengo ni moja.
Baada ya ku-design circuit unaiweka kwenye computer unai-test ili uone majibu yako,kuna software zina kila kitu oscilloscope,signal generator n.k Baada ya hapo unajenga kitu tangible proto type(circuit yenyewe) unaitest live.hapo ni kwa ufupi tu,pia kuna masomo kem kem management,intrepreneurship,computing ndo usiseme, all in DIT wana tumia CBET methodogy,mwanafunzi wa DIT akipeleka proposal ya project lazima asimame kwenye jopo la madocta aitetee hadi ikubaliwe pia mwishoni watalaam na maprof wa vyuo vikuu nchini watakuja ufanye presentation ya project hakuna longolongo,UDSM mnakusanya tu hizo project hakuna kuitetea hivo unaweza kumpa mtu akakufanyia ukamlipa,DIT mapaka uuze sura mbele ya jopo kutetea project yako.
mkuu kama ni vilaza kwanini wasiitwe vilaza? Hivi mtu smart anaweza leta mada chovu kama hii? Inaaminika na nani na toka lini? Huko DIT inaonekana wanambwela tu sasa katika kujifariji ndiyo wanakuja na vitu ambavyo hata havina mashiko.
Engineering tuliosoma miaka ya 19 kutoka facult of engineering ilikua inakimbiwa na mafundi mchundo wa FTC, 1995 darasa la civil tulikua 23, form six walikua 19 na waliobaki ni FTC, sikumaliza na FTC hata mmoja, walikamatwa mwaka wa kwanza na wa pili, hata masoma ya labs. tu yaliwashika. Kwa ufupi watu wengi waendao vyuo kama DIT,ARUSHA TECH.,MBEYA TECH. huwa na viarufu vya ufundi mchundo na ndio maana hawezi jitofautisha wenyewe na wahandisii. Hao wote wanatakiwa kufanya kazi chini ya wahandisi wa UDSM na sio vinginevyo!
Dogo hiyo engineering yako uanyosoma sijui toka chuo kipi maliza utatukuta kwenye panel! ndio utajua ni ya nyerere au ndio engineering hasa, sio ya kuunga unga sijui grade test then FTC alafu sijui adv. dipl alafu degree ni mchundo 100%Nahisi wewe bado unajua Rais wa nchi ni Nyerere. Mambo yamebadilika, halafu hapo juu tumeongelea degree holders wa vyuo hivi na sio FTC.
Dogo hiyo engineering yako uanyosoma sijui toka chuo kipi maliza utatukuta kwenye panel! ndio utajua ni ya nyerere au ndio engineering hasa, sio ya kuunga unga sijui grade test then FTC alafu sijui adv. dipl alafu degree ni mchundo 100%
Ukianza tu nitajua mchundo product! take from meNGOJA NIKUULIZE: kwenye iyo panel utakuwa umekwa kuangalia engineer aliyetoka UDSM au mwenye vigezo? @ mr PANEL
Ukianza tu nitajua mchundo product! take from me
Mimi nimesoma udsm, na tena hiki chuo kinakufa kwa sababu ya sifa za kijinga,unakuta mwalimu anabana somo lake kisa hajapata phd,tena bora siku hizi practical ni juhudi zako mwenyewe tuu no guidance. Mfano pale udsm unafundishwa na mwalimu anakaribia miaka 60 jamani kwa tanzania mwalimu kama huyu alimeza tuu , computer tz tumezijua miaka ya 2000. Vyuo vingine sijui wakoje ila wale wanaopokea wanafunzi field ndo wako kwenye position nzuri kulisemea hili. Lakini makazini nona zaidi wanafunzi wa udsm sasa sijui bado waajiri wanamini hawa zaidi au ni uzuri sina uhakika. Na next makazini ni wa st joseph
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?
Jipe moyo tu dogo! Facts ndio Engineering ya siku zile UDSM acha kabisa!, tutakutana kwenye projects fundi mchundo!aah! Huyo ndo mr PANEL a.k.a engineer wa karne ya 19 toka UDSM. Kwa miaka mingi chuo chako kimetoa wahandisi feki, makampuni toka nje yanakuja na wahandisi wao kisa watu kama nyie mnashindwa kazi zenu. Pamoja na hayo me siamini kuwa chuo kimoja pekee ndio kinato a gurantee ya ubora wa fani ya mtu, kama ambavyo unakipa sifa UDSM. Juhudi za mtu ndo mpango mzima.