Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering


mkuu ambaye hajaelewa hapo kwenye red ana matatizo
UDSM wanafundishwa kufikiri wakati hao DIT wanafundishwa kuwa mafundi...hata hawawezi kufanana.
 
Kuna watu kusoma UDSM tu wanajiona kuwa so special. Sijui mngekuwa M.I.T na Havard. Acheni ukiritimba. Kueni kifikra mnafikia kuwaita Vilaza ambao hawasomi Udsm.
 
Baada ya kutaja ma-LAB yote hayo, hebu nifagilie mimi niliyepita kwenye hayo ma-LAB ya UDSM, na FTC halafu nilitokea TECHNICAL SCHOOL. TATIZO LA MLIO WENGI HUMU MNA INFERIORITY COMPLEX......... YAANI SHULE YAKO IKITAJWA KWA UDHAIFU BASI UNAKUJA JUU KAMA MOTO WA KIFUU
 
Kuna watu kusoma UDSM tu wanajiona kuwa so special. Sijui mngekuwa M.I.T na Havard. Acheni ukiritimba. Kueni kifikra mnafikia kuwaita Vilaza ambao hawasomi Udsm.

mkuu kama ni vilaza kwanini wasiitwe vilaza? Hivi mtu smart anaweza leta mada chovu kama hii? Inaaminika na nani na toka lini? Huko DIT inaonekana wanambwela tu sasa katika kujifariji ndiyo wanakuja na vitu ambavyo hata havina mashiko.
 
Hapa ongeleeni nani kapata kazi na hajapata
 
mkuu kama ni vilaza kwanini wasiitwe vilaza? Hivi mtu smart anaweza leta mada chovu kama hii? Inaaminika na nani na toka lini? Huko DIT inaonekana wanambwela tu sasa katika kujifariji ndiyo wanakuja na vitu ambavyo hata havina mashiko.

i
Ukweli wanaujua waajiri, UDSM mnameza(Mnakariri) inafahamika kote.
Kama unadhani Jina na hadhi ya chuo vitaku-favour sahau kuhusu hilo. Anza kutafuta Alternative. Msiwatishe madogo wanaoenda kuanza degree kwenye vyuo hivi.
 

Ma GEOTECH wa MRI ndio MFUNIKO WA ZEGE.

Uliza utajuzwa!
 
jamani haya mambo mengine hayana tija kuyajadili.ukweli upo palepale mtu aliyehitimu chuo kikuu kama UDSM huwezi mlinganisha na hao wengine.tofauti ni kubwa sana.kwanza wa UDSM hata ukifatilia academic record yake toka anazaliwa itakua ni nzuri tu na ndomana akaweza kuchaguliwa huko.
 
kwanza wa UDSM hata ukifatilia academic record yake toka anazaliwa itakua ni nzuri tu na ndomana akaweza kuchaguliwa huko.


jamani hawa ndo wanafunzi wa Udsm, yaani VICHWA, Kweli hamjisomi kaka zetu.
Una uhakika wanafunzi wa Ud wanarekodi nzuri? Ni rekodi ipi unayoi consider kuwa nzuri? Wanafunzi wa degree wa DIT wana rekodi ipi mbaya? jIPANGE!
 
hahaha! napita tu hapa! ... JF kuna ligi mbazo ni ngumu kidogo ... ccm vs pro cdm nyerere worshipers vs anti nyerere UDSM vs Others!
 

Hata mimi niliyebahatika kuiba mitihani ya taifa kuanzia darasa la saba,form four hadi form six baadaye nikajiunga na chuo kikuu ukifuatilia academic record zangu toka nazaliwa utagundua ni nzuri tu.
 

pole sana kijana. kumbuka chuo unaanza safari yaukweli hizo academic za nyuma weka kwenye kikapu kwanza, halafu jua " higher payable engineer ni yule mwenye uzoefu(experience).
Matokeo ya secondary yanaonesha "how u care other subjects you take them" na sikuzote kumbuka o level ni level ya mother language ya course na advance ni preparation and building mind before starting a course. Iweje ujisifu umakini wakat miezi 6 hujangusa ki2.
Ndio maana unajiona ukifaulu advnc it was just a begin. Kumbuka last exam sio kipimo tosha ndio maana chuo kuna GPA inayo hesabiwa toka 1st year nasio ule mtihani wamwisho.
 
Wa2 wa ud maneno mengi sana ooh mi nasoma chuo kikongwe hayo yote ya nini wa2 wanataka production na c maneno kibao oooo mi nasoma bach of science in eng na mwingne bach of engineering in - ni vi2 viwili tofaut sana kama kuna m2 aweze kutofautisha ndo 2tajua kipi ni chuo bora in engineering.
Afu pia ud msijione nyie ndo mabingwa wa kila ki2 kwani ha2po miaka ya 40 iv sasa ha2amini maneno ya umbea
afu mi mnaniuzi sana ud ud na vyuo vingne wajiite vipi au ndo Sant Sant Joseph
 
binafsi nawafahamu jamaa zangu kama watano waliodisko UDSM.hawa wote walienda kusoma huko DIT na wakafanikiwa kumaliza.cha kushangaza sijawahi kuona mtu anadisko DIT then akapata admission UDSM.hii ni sawasawa na kwa wenzetu madaktari.huwezi linganisha daktari aliyehitimu muhimbili medicine na clinical officer au assistant medical officer ambao mtaani pia wanaitwa madaktari.tubadilike kimawazo jamani.tuondokane na mawazo mgando.
 

Hii inaprove wazi kwamba wanafunzi walio UDSM ni vilaza na wanabweteka hivyo wakipewa nafasi kujumuika na wanaojua then wanasoma kweli, so jifunze kutokana na hao wenzio waliodiscko
 
hayo ni mawazo ya kufikirika tu kuwa fit katika practical inategemea na mtu mwenyewe atakavyojitune katika field anayochukuwa iwapo hata tilia maanani atatoka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…