Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,469
Mabishano yenu hayana mwisho,Mwamba ngoma.....Dah Yananikumbusha kitu hiki,kuna dogo alimaliza mzumbe sec na div 3 wakati huo mzumbe ikiwa top 10 kwenye matokeo ya kitaifa na mwingine alimaliza B.W Mkapa Dsm na Div 1 wakati huohuo B.W Mkapa High sch ikiwa hata top 100 kitaifa haipo,,,...Hata sikujiuliza yupi bora,.Ubora wa mtu upo kichwani mwake wala si mahali aliposoma,Bishaneni ila kila mmoja wenu anajifahamu ki uwezo.
"Kokote ulipo jiamini kua wewe ni bora na thibitisha ubora wako,Usitarajie kubebwa na kitu extra chochote" ukibisha ngoja uanze kutafuta ajira utajijibu.
"Kokote ulipo jiamini kua wewe ni bora na thibitisha ubora wako,Usitarajie kubebwa na kitu extra chochote" ukibisha ngoja uanze kutafuta ajira utajijibu.