Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

Mabishano yenu hayana mwisho,Mwamba ngoma.....Dah Yananikumbusha kitu hiki,kuna dogo alimaliza mzumbe sec na div 3 wakati huo mzumbe ikiwa top 10 kwenye matokeo ya kitaifa na mwingine alimaliza B.W Mkapa Dsm na Div 1 wakati huohuo B.W Mkapa High sch ikiwa hata top 100 kitaifa haipo,,,...Hata sikujiuliza yupi bora,.Ubora wa mtu upo kichwani mwake wala si mahali aliposoma,Bishaneni ila kila mmoja wenu anajifahamu ki uwezo.
"Kokote ulipo jiamini kua wewe ni bora na thibitisha ubora wako,Usitarajie kubebwa na kitu extra chochote" ukibisha ngoja uanze kutafuta ajira utajijibu.
 
i
Ukweli wanaujua waajiri, UDSM mnameza(Mnakariri) inafahamika kote.
Kama unadhani Jina na hadhi ya chuo vitaku-favour sahau kuhusu hilo. Anza kutafuta Alternative. Msiwatishe madogo wanaoenda kuanza degree kwenye vyuo hivi.

hapo kwenye blue, ndiyo ujinga ninaoukataa huo. Huwezi ukaconclude mambo kizembe hivyo....Inafahamika kote wapi? Au kwenye kundi lenu la vilaza?

Hapo kwenye red, sitegemei jina wala hadhi ya chuo kunibeba. UDSM nilishapita, nipo natrain vijana kama wewe angalau wapanue uwezo wao wa kufikiri.
 
Tusibishane sana naomba unipe tofauti kati ya Bachelor of science in engineering na Bachelor of engineering hasa kwenye mitaala wanayotumia

Sina tabia ya kubishana ili nishinde...nataka kupata ufahamu zaidi maana ndio utanisaidia kupiga hatua zaidi mbele. Sijui hapa watu wanachotaka ni nini maana iwe umeajiriwa au umejiajiri, bado as individual, itategemea sana unajiweka vipi ili uwe na mafanikio. Tunaposoma tunaandaliwa kwa ajiri ya kazi mbalimbali...BSC and BE hazifanani maana hasa nchi zilizoendelea kuna wanaoandaliwa kuwa researchers na wengine kuwa moja kwa moja kwenye kazi za mikono(Hands job). Kwa Tanzania soko letu halijapanuka hivyo...na usitegemee ukiniletea cheti cha chuo fulani basi ndio una guarantee ya kupata kazi hata kama utakuwa mzigo kwangu.
 

Hizi fikra kama bado tuko ndani ya mabox sijui zinamsaidia nani. Bora uwasaidie vijana. Naona hawajitambui.
 
Hizi fikra kama bado tuko ndani ya mabox sijui zinamsaidia nani. Bora uwasaidie vijana. Naona hawajitambui.

inashangaza sana, huwezi mtu ukakomaa unashindania majina ya vyuo. Huyu aliyeleta hii mada hajielewi hata kidogo, iwe UDSM au DIT...juhudi binafsi ndizo zinaweza kumtofautisha mtu mmoja mpaka mwingine
 

So unamaanisha UDSM ni wamezaji yaani (researchers) wali si watu wa vitendo, nadhani nimekuelewa
 
So unamaanisha UDSM ni wamezaji yaani (researchers) wali si watu wa vitendo, nadhani nimekuelewa

yaani hicho ndicho mnachokitafuta, haya tufanye kwamba ni wamezaji...nyie msiomeza mmefanya nini cha maana? Au ndiyo mnafundishwa kupiga porojo kama hizi?
 
Kuna watu kusoma UDSM tu wanajiona kuwa so special. Sijui mngekuwa M.I.T na Havard. Acheni ukiritimba. Kueni kifikra mnafikia kuwaita Vilaza ambao hawasomi Udsm.

kumbe unajua kuna havard udsm ndo havard yetu kweli anti udsm wote vilaza confirmed
 
i
Ukweli wanaujua waajiri, UDSM mnameza(Mnakariri) inafahamika kote.
Kama unadhani Jina na hadhi ya chuo vitaku-favour sahau kuhusu hilo. Anza kutafuta Alternative. Msiwatishe madogo wanaoenda kuanza degree kwenye vyuo hivi.

kilaza mwingne ulipata 4 o 3 au ndo wale wa ftc baada ya comb kuto kubalance
 
yaani hicho ndicho mnachokitafuta, haya tufanye kwamba ni wamezaji...nyie msiomeza mmefanya nini cha maana? Au ndiyo mnafundishwa kupiga porojo kama hizi?

Usipanik kumbuka wewe ni thinker tunakutegemea,ila kwa hilo la wamefanya nini nenda tu pale DIT ukajionee watu wako deep wanafanya vitu vya kweli siyo longolongo za kumeza kama UD jipange sana ENGINEER WA KWELI SIO MMEZAJI THEORY BALI NI MTENDAJI PIA KUMBUKA UWEZO WAKO PRACTICALLY NDIO UTAKUPA AJIRA WALA SI UMEZAJI WAKO
 
kilaza mwingne ulipata 4 o 3 au ndo wale wa ftc baada ya comb kuto kubalance

Kweli wewe ni mmezaji mkuu wa UDSM hivi hujui kuna watu wamedahiliwa UDSM kwa vyeti vya Diploma na walipitia katika FTC tena wanaingia wakiwa nondo maana wanakuwa na UZOEFU wa kutosha
 

We ndo Machicha kweli! Kwani wanazungumzia Kenyatta hapa...akili za shambani hizi
 
mi ngoja nipaki pembeni nipishe huu msafara wa ma-engineer!...ehee?
 
Nyie bishaneni !! Kuhusu chuo kipi kati ya udzm and dit ni bora ?? ila mwisho wa yote;
1. UDZM
2.SUA
3.DODOMA

NB: wengine mtagawana hzo namba zinazofuata !!
 
So unamaanisha UDSM ni wamezaji yaani (researchers) wali si watu wa vitendo, nadhani nimekuelewa

Na wale wanaojenga majengo na kudesign vitu mbali mbali nao ni wamezaji? Unajua engineering sio siasa? Kitu usichokijua ni kama usiku wa giza....mimi najua engineering inafanya nini na sina sababu ya kukwambia nilisoma wapi. Kama kuna mtu anaamini chuo alichosoma ndio kinajibu analolitaka kwenye engineering, pia all the best!
 

wako deep na nini? Kuna jamaa mmoja sasa hivi ni mwalimu pale...A-Level hakuwa na pass za kwenda mlimani akaenda advanced diploma. sasa hivi na yeye ananiletea hadithi unazoleta wewe? What is it? Inferiority complex? Anajua I have got my own and makes money...ila anataka akiniona njiani ni kama mtu omba omba....Duuuh
 

Kweli ndio maana majengo mengi yalikuwa yanaporomoka kwa maana ENGINEERS wengi walikuwa ni wamezaji kutoka UDSM wala si watendaji
 
Sikutegemea kumbe na wewe Dudu ni MMEZAJI

Sio ivyo bhana !! Ila kwa bahati nzuri brother angu amebahatika kufanya field na jamaa kutoka DIT katika kiwanda cha TBL hapa dar "Alisema Ya kwamba jamaa wa dit Wana kiherehere na mbwembwe kila kitu wanajifanya wanajua kumbe ni vilaza tu " Afu wanatabia ya kujipendekeza kwa mameneja ili waonekane wao ni bora kumbe ni uwozo mtupu !! DIT Hawana jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…