Pamoja na kuwepo kwa wachangiaje wengi waliotoka nje ya maada! Lengo kuu la post hii ni kuwafungua macho vijana wanaotaraji kujiunga na vyuo mbalimbali waki specialize katika field hii ya UHANDISI. Lengo si kuweka makundi au utengano baina ya wahandisi hapa nchini. Naamini kwa aliyehitaji kujua mambo yalivyo huku vyuoni, kashajua. Ahsante kwa ushauri wako na next posts zitazingatia pendekezo lako mkuu.
sio ivyo bhana !! Ila kwa bahati nzuri brother angu amebahatika kufanya field na jamaa kutoka dit katika kiwanda cha tbl hapa dar "alisema ya kwamba jamaa wa dit wana kiherehere na mbwembwe kila kitu wanajifanya wanajua kumbe ni vilaza tu " afu wanatabia ya kujipendekeza kwa mameneja ili waonekane wao ni bora kumbe ni uwozo mtupu !! Dit hawana jipya
Dudu achana na story za kwenye kahawa inshu iko wazi huku mtaana tunawaona wahitimu wa UDSM wanavyohaha hawana jipya wameshindwa hata kujiajiri maana wanategemea kuajiriwa cause wanameza tu
Kudadeki kwa taarifa yako jamaa o-lvl aligonga dvn1 ya 14 ingawa alisoma shule ya kata na a-lvl akagonga dvn 1 ya 7 namba kama kawaida yake akala A chemia nyie washamba wa DIT ambyo hamuiwez akala B na Physc D hahahahahah jipangeni nyie ndo vilaza kheri mtu wa st joseph aongee kuliko nyie vilaza tena viaziyaan watu wa kuhesab,tena usikute alipitia diploma huyo
umesema kweli asilimia mia saba
Pigizaneni kelele huko,lkn mwisho wa cku ukweli unabaki pale pale kwamba udsm hailinganishwi na chuo kama dit,udsm hadhi yake ni cape town,makerere na cairo university.
Ha ha ha... Ze duduz unajichanganya, sasa km mchiz alisoma shule ya kata af akapiga 1 ya 14 huoni km ujuzi wa m2 ni m2 mwenyewe? Wapo waliosoma za vipaji wakapata 4 na zero, so hata ivyo vyuo unavyoviita ww vya kata wapo watakaofanya vizuri sanaa, na watakao kuwa very competent kuliko hao unao waona wamesoma ktk vyuo bora!
Wanafunzi wanaochukua degree za Engineering toka D.I.T inaaminika wako nondo kwa suala zima la practical, ukilinganisha na wanafunzi toka vyuo vingine vya serikali ikiwemo UDSM ambao inaaminika wao kwa theory ni noma. Hili pia limethibitishwa na mwanafunzi wa UDSM aliyewahi kukutana field na wanafunzi wa D.I.T na alikiri kuona utofauti mkubwa. Unakubaliana na hili?
Hili limeongelewa sana humu fanya search. Kwa kifupi hakuna michango ya maana maana kila wa UDSM anaona ametukanwa ukisema hivyo, tunakosa discussion ya maana.
Kwangu, naamini kuwa kwa yeyote aliyafaulu be it DIT, MTC/MIST au Arusha Tech yupo juu practically kuliko aliyeko UDSM FoE/CoET ambaye bado yuko masomoni na hakupita DIT wala MTC/MIST wala Arusha Tech. Vile naamini aliyemaliza DIT, MTC/MIST au Arusha tech halafu akapita UDSM (Engineering) anakuwa yuko fit zaidi kuliko aliyeishia FTC. Sasa kiboko ya wote hao ni sisi tuliopitia shule hizo zote hapo juu ila tulianzia eidha Ifunda, Tanga, Mtwara, au Mazengo tech (technical schools) za wakati huo.
Wakuu salamu, kwanza nianze kwa kusahihisha kuwa hakuna anayemzidi mwenzie kwenye majukumu anayotakiwa kufanya, huu ubishi unaotaka kutokea sasa ni mfumo wa sasa wa elimu wa kubadilisha shule za ufundi kuwa vyuo vikuu. Lakini nitoe ufafanuzi kidogo tofauti iliyopo kati ya Bachelor of Science in Engineering (theory + practical kidogo) na Bachelor of Engineering (Practical sana, theory kidogo).
Engineer aliyesoma Bsc amefundishwa kuangalia tatizo kwa upana mkubwa zaidi, walimu wanahakikisha kuwa mtu huyu amepata uwezo wa kufikiri nje ya horizon ili baadae aweze kutatua matatizo ambayo yanaweza kujitiokeza nje ya yale ambayo yalishapatiwa majibu. Mwanafunzi wa Bachelor of Engineering yeye anafundishwa hasa hasa yale ambayo yalishakuwa standard ndio maana anakuwa mzuri katika practical kama mnavyodai ingawa nitasahihisha kidogo, Bsc engineer ametengenezwa kwa ajili ya kumuongoza Bachelor Engineer au Technician, ingawa Bachelor engineer anaweza mara nyingine kufanya kazi sawa na za Bsc.
Bachelor Engineer akimuongoza Bsc, mara nyingi kunakuwa na mgongano kwa kuwa bachelor hajafundishwa kuwa innovative, labda kiwe kipaji chake binafsi. mgongano unasababishwa na bachelor kutaka kazi zifanyike kwa mazoea bila kuwepo na improvement, hiyo ni kutokana na kuwa amefundishwa hivyo. Kingine cha msingi kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa mafano barabarani, Operator wa greda anafahamu vizuri kuchonga barabara lakini hatuwezi kusema kuwa operator wa greda ni mzuri kuliko engineer anayemwelekeza nini cha kufanya ingawa engineer yeye hajui hata gia moja ya greda. kwa hiyo DIT, Saint Joseph wanafundisha jinsi ya kufanya kazi kama wanavyofundishwa ma-operator wa greda na UDSM ambao wanatoa Bsc wanafundisha jinsi ya kuelezea kazi hiyo inafanyikaje, inamadhara gani na faida gani, ni jukumu la watu wa DIT, na St. Joseph kukamilisha hiyo kazi kama anavokamilisha operator wa greda.
Pia, one should note kwamba, huwezi kusoma Masters of Science in engineering bila kusoma postgraduate diploma, hata kama ulipata first class ya bachelor of engineering, labda uende MEM.
mkuu umenena.Hiyo tofauti doesn't count at all, tena km ina count it counts positively b'coz o-level m2 hajajitambua vizuri km chuo, xo chuo atafanya vizuri zaidi coz facilities ni zakutosha compared to o-level... Ukiamua kubisha bisha kwavile umependa, bt THE FACT IS, MTU MWENYEWE NDIO ANAAMUA KUWA COMPETENT NA SI CHUO WALA TAASISI ALIYOSOMA.
HAHAHAHA..! nimekkupata mkuu...! huyu jamaa badala ya kuchangia ananiita mchicha..! kwani mm nilimtukana mtu..?Kaka hili sio lile jukwaa letu kule, teh teh teh
Kaka hembu eleweka hiyo point yako ya mwisho unamaanisha nini?
Wakuu salamu, kwanza nianze kwa kusahihisha kuwa hakuna anayemzidi mwenzie kwenye majukumu anayotakiwa kufanya, huu ubishi unaotaka kutokea sasa ni mfumo wa sasa wa elimu wa kubadilisha shule za ufundi kuwa vyuo vikuu. Lakini nitoe ufafanuzi kidogo tofauti iliyopo kati ya Bachelor of Science in Engineering (theory + practical kidogo) na Bachelor of Engineering (Practical sana, theory kidogo).
Engineer aliyesoma Bsc amefundishwa kuangalia tatizo kwa upana mkubwa zaidi, walimu wanahakikisha kuwa mtu huyu amepata uwezo wa kufikiri nje ya horizon ili baadae aweze kutatua matatizo ambayo yanaweza kujitiokeza nje ya yale ambayo yalishapatiwa majibu. Mwanafunzi wa Bachelor of Engineering yeye anafundishwa hasa hasa yale ambayo yalishakuwa standard ndio maana anakuwa mzuri katika practical kama mnavyodai ingawa nitasahihisha kidogo, Bsc engineer ametengenezwa kwa ajili ya kumuongoza Bachelor Engineer au Technician, ingawa Bachelor engineer anaweza mara nyingine kufanya kazi sawa na za Bsc.
Bachelor Engineer akimuongoza Bsc, mara nyingi kunakuwa na mgongano kwa kuwa bachelor hajafundishwa kuwa innovative, labda kiwe kipaji chake binafsi. mgongano unasababishwa na bachelor kutaka kazi zifanyike kwa mazoea bila kuwepo na improvement, hiyo ni kutokana na kuwa amefundishwa hivyo. Kingine cha msingi kila mmoja anamtegemea mwenzake, kwa mafano barabarani, Operator wa greda anafahamu vizuri kuchonga barabara lakini hatuwezi kusema kuwa operator wa greda ni mzuri kuliko engineer anayemwelekeza nini cha kufanya ingawa engineer yeye hajui hata gia moja ya greda. kwa hiyo DIT, Saint Joseph wanafundisha jinsi ya kufanya kazi kama wanavyofundishwa ma-operator wa greda na UDSM ambao wanatoa Bsc wanafundisha jinsi ya kuelezea kazi hiyo inafanyikaje, inamadhara gani na faida gani, ni jukumu la watu wa DIT, na St. Joseph kukamilisha hiyo kazi kama anavokamilisha operator wa greda.
Pia, one should note kwamba, huwezi kusoma Masters of Science in engineering bila kusoma postgraduate diploma, hata kama ulipata first class ya bachelor of engineering, labda uende MEM.
haaaaaaaa!!!! ningekua na presha ningedondoka!!!!dats the truth mkubwa !! Cku zote vyuo vidogodogo na vya kata kama hv huwa wanawaonea wivu watu wa udzm i dnt knw why? Washkaji wa vyuo vya kata naombeni mbadilike