KERO Wahitimu wa Degree ya Microfinance and Enterprises Development tunakuwa Auto-Rejected kwenye Ajira Portal

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha (Finance) pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua Auto Rejected.

Tushaongea sana tumeshilikisha Mpaka chuo ila Limekua tatzo sugu Vijana tunahangaika hatuna Ajira, Namfumo ambao tunautegemea nao unatukataa hata kwa ajira Finance nk kama zinazohusiana na kozi yetu kwenye Ajira hivyo Tunaiyomba Utumishi Ifanyie kazi maaana Tunakosa fursa za Serikalin kama kozi nyingine wavyopata. Asante
 
kafanye kazi zingine kalime nenda veta mkuu. hawa utumishi michosho ajira zao za michongo sana kama huna ndugu pesa wala connection ni shwaaa hata upate 100/100
 
Kama bado una changamoto ajira portal wasiliana na 0623446608
 
kafanye kazi zingine kalime nenda veta mkuu. hawa utumishi michosho ajira zao za michongo sana kama huna ndugu pesa wala connection ni shwaaa hata upate 100/100
Mbona mimi nimepata ajira mwaka 2022 tena taasisi kubwa tu bila kufahamiana na mtu yoyote

Acha bongo wewe
 
Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha (Finance) pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila tunakua Auto Rejected.

Tushaongea sana tumeshilikisha Mpaka chuo ila Limekua tatzo sugu Vijana tunahangaika hatuna Ajira, Namfumo ambao tunautegemea nao unatukataa hata kwa ajira Finance nk kama zinazohusiana na kozi yetu kwenye Ajira hivyo Tunaiyomba Utumishi Ifanyie kazi maaana Tunakosa fursa za Serikalin kama kozi nyingine wavyopata. Asante
Hapo ndio mnatakiwa kujua kama hamjui na hamjulikani kama wasiojulikana.
 
Kuhusiana na changamoto yao kwenye mfumo wa Ajira Portal, hii course Tanzania inatolewa CHUO CHA USHIRIKA KIKO MOSHI tu, kwenye mfumo wa Ajira Portal haijapewa kipaumbele kwenye course za finance.

Yaani mpaka kazi za benki, uhasibu inakataa, mpaka kazi za afisa mikopo ambayo ndio ubobezi wake haswa inakataa.

Kuna jopo la wahitimu wa hiyo course wako mtaani kwa kukosa Ajira. Mfano kazi zilizotangazwa na BOT karibu asilimia 80% ziliwafaa lakini hakuna ilikubali hata moja. Uki apply kila kazi tena ambayo unaona ilistahili kuwa kimbilio inaandika FAILED.

Kazi za finance zote hii course inafaa kuwa included. Tumeenda mpaka chuo nako msaada umekosa. Wanafunzi tuliohitimu tumeandaa petition ya kufikisha malalamiko yetu kwa wizara husika ila bado tuu hatujasaidiwa kitu.

Msaada ili warekebishe mifumo yao upande huo.
 
Mm sio mtaalamu sana ila nina ufahamu wa uchumi. Microfinance maanake ni taasisi za kifedha ndogondogo kama FINCA, VICOBA n.k. Nadhani kazi za benki zikija hususan BOT, na mabenki makubwa sidhani kama wataweza kuwachukua ilhali kuna watu wameaomea kabisa Finance and accounting yenyewe. So nadhani kwa maoni yangu ni vora kusubiri taasisi zenu zikiweka matangazo mtapewa kipaumbele.

Who knows tomorrow? None of us.
 
Back
Top Bottom