Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

Wewe ndoumeongea point Sasa, Safi kabisa walimu wabadilike
 
Nonsense. Wapi ushahidi hata angalau utafiti?
 
Huu uzi asiuone Mpwayungu tafadhari
Walimu warudi shule upya bado ni vilaza, serikali ianze kuajiri wanafunzi bright wenye division one tu na mishahara iongezwe iwe million moja na kuendelea ili waweze kubadilisha mboga vinginevyo watabaki kuwa malofer tu
 
Walimu warudi shule upya bado ni vilaza, serikali ianze kuajiri wanafunzi bright wenye division one tu na mishahara iongezwe iwe million moja na kuendelea ili waweze kubadilisha mboga vinginevyo watabaki kuwa malofer tu
Hii ndio ilikuwa point ya mleta nada ila hakuiweka vizuri
 
Mtu aliyepata A ya Physics A level hata asipoenda kusoma ualimu ni mtamu kuliko aliyepa E,D halafu akaenda ualimu kisha aje afundishe Physics.
 
Hii nashindwa kuelewa,ni kwamba vyuo vinawafubaza au inakuwaje? Maana huyo mhitimu wa chuo Kikuu alikuwa pia mhitimu wa form six.Labda Kuna kitu hujaandika
 
Hao Form six wakiweza kumfundisha mtoto wa Nursery nitakubaliana na mada yako
 
Mshahara wa Mwalimu siyo mdogo, tatizo kubwa mmejijengea inferiority complex ya kutisha mpaka mnaishi kwa hofu na wasiwasi wa kichoko kinoma.
 
Boss ivi unajua secondary ni elimu ya kufuta ujinga na chuo ni elimu ya fani na ni vitu viwili tofauti, inaonekana upo advance boss, acha kuandika vitu usivyovielewa
 
Hao uliowataja ndo wanafundisha Tanzania nzima? Ndo wamekufanya uconclude hivyo?
Wambie wafungue shule Yao halafu waajiri form six leavers tu
Mnabishana na watoto wa secondary uyo ata chuo bado 😀😀hajui chochote kajiandikia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…