Kuna mizaha mingi kwa Walinu, ila to be honest tunastahili mizaa hiyo
Ni kazi ambayo kwa kweli Haina thanani, kazi nyingi, mshahara mdogo (degree 700k), hakuna overtime, kila kiongozi ni boss wako
Haya masihara na utani kutoka kwa kina
Mpwayungu na wengineo iwe ni challenge, watu waendane na wakati
Ifike hatua watu wawe na transformed mind, habari za kushinda masaa 24 shule kisa unataka A nyingi za NECTA wakati mshahara hata kula hautoshi ni UPUMBAVU
Mambo ya kufundisha Hadi likizo, ni UPUUZI
Fanya kazi muda mchache uliopngwa, Kisha ondoka kabisa shuleni, kafanye mambo mengine ya kiuchumi
Weka mkakati, kufundisha iwe sehemu ya kupata pesa ukafanye mambo mengine, sio ajira ya kudumu (unless uridhike kupata 500 take home kila mwezi)
KIMSINGI UALIMU SIO KAZI, NI PROFESSION ya kupotezea muda tu