Wahitimu wa Kidato cha Sita Tumeni Maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)

Wahitimu wa Kidato cha Sita Tumeni Maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)

labda wakubali kurudisha hela za wale ambao watakua wamefeli baada ya matokeo kutoka
 
Jamani mi leo nimekwenda mguu kwa mguu mpaka HESLB maswali yote mnayoongelea nimeuliza. Ni kweli wahitimu wote wa f6 lazima tuombe mkopo kabla ya tarehe 30.06.2013, baada ya hapo maombi yatafungwa na hawataongeza muda isipokuwa kwa wale waliokwenye mafunzo ya jeshi. Pia kwenye ujazaji wa fm zao hakuna seem ambapo utaambiwa ujaze matokeo ya f6 so hata kama hayajatoka bado unaweza kuomba mkopo. Mimi tayari nimejaza form leo na kuprint, nawashauri na nyie mjaze acheni kupotoshana.
 
Back
Top Bottom