Wahitimu wa kike kutoka Vyuo Vikuu wanafanya kazi gani?

Wahitimu wa kike kutoka Vyuo Vikuu wanafanya kazi gani?

Mingendeu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
293
Reaction score
572
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi??

Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi.

Hawa wahitimu wa kike wako wapi??

Kuna bomu kubwa linatengenezwa mahali. Likilipuka, tutateketea.
 
Tupo nao kwenye visungura. Swali la muhimu sana hilo aise.
 
Most of them wanafanya hizi.

Onlyfans, IG Slay queens, Video vixens, Tiktok Content creators, Customer care.

Barmaids, Shopkeepers, Hairdressers, Barbershop maids, Vendors.
 
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi??

Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi.

Hawa wahitimu wa kike wako wapi??

Kuna bomu kubwa linatengenezwa mahali. Likilipuka, tutateketea.

Kwani Maza, Tulia au Halima siyo wahitimu wa kike? Kwani hujui wanafanya kazi gani?
 
Jibu lake linasikitisha mkuu, bora kukaa kimya tu
Nimekutana na jamaa angu mmoja nilisoma nae chuo,, tukawa tunajadiliana changamoto, ndipo nikajiuliza wadada wako wap?! Hyu jamaa angu yupo kiwandani analipwa 8500/- kwa siku, kiwanda cha bindi. Anakwambia kaz ni ya hatari sana na hakuna bint huko
 
Aisee, inamaana hawatumii kabisa taaluma yao. Kuna nyakati itakuwa ngumu sana kuwaaminisha watoto wetu kuwa elimu ni ufunguo wa maisha
Most of them wanafanya hizi.

Onlyfans, IG Slay queens, Video vixens, Tiktok Content creators, Customer care.

Barmaids, Shopkeepers, Hairdressers, Barbershop maids, Vendors.
 
Back
Top Bottom