Kitambaa cheupe na kwingineko
Wahitimu wa kike kutoka vyuo vikuu wako wapi??
Wahitimu wa kiume wengi wameingia kwenye bodaboda na kazi za viwandani, pia wapo walioanguikia kwenye ulinzi na saidia fundi.
Hawa wahitimu wa kike wako wapi??
Kuna bomu kubwa linatengenezwa mahali. Likilipuka, tutateketea.
Nimekutana na jamaa angu mmoja nilisoma nae chuo,, tukawa tunajadiliana changamoto, ndipo nikajiuliza wadada wako wap?! Hyu jamaa angu yupo kiwandani analipwa 8500/- kwa siku, kiwanda cha bindi. Anakwambia kaz ni ya hatari sana na hakuna bint hukoJibu lake linasikitisha mkuu, bora kukaa kimya tu
Kwahiyo wapo bungeni na ikulu?? Hongera zaoKwani Maza, Tulia au Halima siyo wahitimu wa kike? Kwani hujui wanafanya kazi gani?
Kumbe kuoa hawa wadada ni rahisi hivi???Unatafuta mke kijanja sana
Wako wapi?Kumbe kuoa hawa wadada ni rahisi hivi???
Most of them wanafanya hizi.
Onlyfans, IG Slay queens, Video vixens, Tiktok Content creators, Customer care.
Barmaids, Shopkeepers, Hairdressers, Barbershop maids, Vendors.
Wameolewahongeta
Hali sio shwariWapo mawinga, wahudumu bar, makasino, saluni kubwa kubwa mjini, migahawani, kwa ufupi wengi ni wahudumu sehemu za starehe.
Hongera zaoWameolewa