Wahitimu wa kike kutoka Vyuo Vikuu wanafanya kazi gani?

Mbona baadhi Yao wamejiajiri mjini na mobile offices
 
Most of them wanafanya hizi.

Onlyfans, IG Slay queens, Video vixens, Tiktok Content creators, Customer care.

Barmaids, Shopkeepers, Hairdressers, Barbershop maids, Vendors.
Sasa hii si kozi kabisa ingefundishwa du darasani.
 
TINDER Entrepreneurs
 
Wapo waliojiajiri upishi wa keki,ususi,migahawa,wafanya biashara wa nguo etc
 
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee
 
Sijui
Jibu lake linasikitisha mkuu, bora kukaa kimy
Shida yetu waTz ni kuji-exclude kwenye matatizo ya watu. Huwa tunajali ya kwetu tu.. Kuna siku yatawafikia na hakutakuwa wa kuona huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…