Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Anapaswa tu mtoto kufahamu kuwa fedha ni ya kutafuta kisomo ni jambo la msingi ili awe na uwezo wa kutafuta hela
 
Uko sahihi kbs! Wazazi walaumiwe ktk kadhia ya ukosefu wa ajira anayopitia mhitimu wao
 
Uko sahihi kbs! Wazazi walaumiwe ktk kadhia ya ukosefu wa ajira anayopitia mhitimu
 
Wanaondaliwa na mahitaji yaliyopo ni vitu viwili tofauti
Tuko na safari ndefu sana kama taifa.

Ndiyo maana mataifa mengine yanafaidi sana kwa kuwatumia wahitimu wetu ambao miaka nenda rudi serikali imetumia gharama kubwa kuwasomesha.

Tunataka kila mtu apate elimu, lakini kama hakuna mazingira wezeshi na ya makusudi ili kuwafanya wanufaike na elimu waliyoipata, maarifa yale huleta tija kiduchu.

Kumbuka msomi huwa na matarajio makubwa sana anapokuwa masomoni - ametumia muda, nguvu, pesa na hata wakati mwingine kuhatarisha afya yake.

Hawa wasipopata walichosomea, hii hupelekea msongo mkubwa sana wa mawazo na matokeo yake huweza kuwa mabaya zaidi.
 
mwanaume kama huna hela kama mzabzab hapa sahau mambo ya ndoa wewe endelea tuu na nyeto ya mlenda vuguvugu.
sio kwamba hatupendi kuoa bali hatupo economically weel kuweza kumudu majukumu ya familia.
Hahaha ni ngori mkuu.
 
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.

Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Unaowaambia wawaoe nao ni graduates wako wote mtaani. Wanawake hawawataki kabisa hawa graduates wenzao wasio na ajira kama wao. Bora aolewe na bdbd labda. Bodaboda nao wameshaoa la saba wenzao!
Ndo maana unasikia bdbd wanatembea na wake za watu, ndo hao graduates wanaolialia,
 
Aisee hatari kweli kweli maisha haya...sasa tufanyeje jamani.
 
Aisee hatari kweli kweli maisha haya...sasa tufanyeje jamani.
Wanawake wangekuwa na akili wañgekubali kuolewa na hao graduates wasio na kazi ili watafute maisha pamoja, wangekubaliana hela atakayopata mwanaume kwenye kuhañgaika waweke akiba wapate mtaji maana mwanaume atakuwa hatumii hiyo hela kununua mbususu.
Wangeweka hayo malengo kwa uwazi na mke asibanie mbususu ili mumewe aweke akiba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…