Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapaswa tu mtoto kufahamu kuwa fedha ni ya kutafuta kisomo ni jambo la msingi ili awe na uwezo wa kutafuta helaTazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Uko sahihi kbs! Wazazi walaumiwe ktk kadhia ya ukosefu wa ajira anayopitia mhitimu waoTazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Uko sahihi kbs! Wazazi walaumiwe ktk kadhia ya ukosefu wa ajira anayopitia mhitimuTazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Tuko na safari ndefu sana kama taifa.Wanaondaliwa na mahitaji yaliyopo ni vitu viwili tofauti
sawa bwana mie akili yangu kisoda...nyie wenye maarifa endeleeniYou're missing the point. Hapa haongelewi mtu mmoja tu. Wake up!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee bhana, khaaahkweli tena maana unalishwa unavalishwa na unapewa utamu huku wewe ukitoa mbusus na kulea watoto na mume
Acha upuuzi. Hakuna mzazi aliyeandikiwa barua amzae mtoto.Acha kutegemea vya wazazi wao walitoa wapi? Hii mentality ya urithi ndo inawatesa zaidi
Huyo hajui urithi pia ni muhimu kwenye maisha hasa kwa watoto!.Acha upuuzi. Hakuna mzazi aliyeandikiwa barua amzae mtoto.
Hawazitaki hiziWeka email yako mkuu ili wafanye application
AlhamdullilahMwl. Evelyn wewe ulitoboa mapema sana.
Hahaha ni ngori mkuu.mwanaume kama huna hela kama mzabzab hapa sahau mambo ya ndoa wewe endelea tuu na nyeto ya mlenda vuguvugu.
sio kwamba hatupendi kuoa bali hatupo economically weel kuweza kumudu majukumu ya familia.
Natumai hao wanuka pumbuz utawaonea huruma ili hatimaye uolewe na mmoja wao.Sasa ndo nauliza hao wanuka pumbuz na wasio na hela, wataoa vipi? Lol
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Unaowaambia wawaoe nao ni graduates wako wote mtaani. Wanawake hawawataki kabisa hawa graduates wenzao wasio na ajira kama wao. Bora aolewe na bdbd labda. Bodaboda nao wameshaoa la saba wenzao!Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Aisee hatari kweli kweli maisha haya...sasa tufanyeje jamani.Unaowaambia wawaoe nao ni graduates wako wote mtaani. Wanawake hawawataki kabisa hawa graduates wenzao wasio na ajira kama wao. Bora aolewe na bdbd labda. Bodaboda nao wameshaoa la saba wenzao!
Ndo maana unasikia bdbd wanatembea na wake za watu, ndo hao graduates wanaolialia,
Ngori ndio nini tenaHahaha ni ngori mkuu.
Wanawake wangekuwa na akili wañgekubali kuolewa na hao graduates wasio na kazi ili watafute maisha pamoja, wangekubaliana hela atakayopata mwanaume kwenye kuhañgaika waweke akiba wapate mtaji maana mwanaume atakuwa hatumii hiyo hela kununua mbususu.Aisee hatari kweli kweli maisha haya...sasa tufanyeje jamani.