Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

Wahitimu wa vyuo vikuu wanapitia mateso makali sana kisaikolojia. Wazazi mkumbuke kuaanzisha family business, watunzieni mitaji ya kuwapa after chuo

High income skills - hapa nimekuelewa sana.
High income skills Tanzania hakuna zinapoapply zikiapply ni maeneo machache, hizo course Tanzania hakuna zilipo Ulaya gharama ni kubwa.

Mzazi mwenyewe mshahara 200k umri wake wote duniani ameutumia kujenga nyumba ya kuishi akistaafu, amestaafu amelipwa mafao 20ml anamalizia nyumba ya kuishi na hela za kula akisubiri kufa.

Mzazi mkulima Kazuramimba huko, analima asomeshe na kula, hiyo family business anaitoa wapi?.
Mzazi anaungaunga hata hiyo ada amelipa Kwa taabu nyingi sana halafu tunamwambia habari ya family business.

Umasikini Tanzania ni mkubwa sana, na chanzo chake ni watawala na CCM. Wameshaifikisha meli deep sea wakijua ni Mbovu ilihitaji matengenezo ikiwa nangani bandarini au dry dock, kilichobaki sasa ni kupump maji nje, kuziba viraka na kuomba Mungu.

zipo nyingi sana zinazofit mazingira ya Tanzania mfano Hata u MC wa harusi ni high income skill kwa Tanzania
 
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Wewe sio mzazi. Bisha.
 
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka

View attachment 3238169

huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.

Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana

No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.

Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
SASA NDUGU YANGU TUTAPATA WAPI MITAJI WKT HELA ZOTE ZINAISHIA KULIPA ADA EMS.
Kuwapeleka watoto kayumba ili angalau tubakiwe na mitaji tunaona aibu
 
Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.

Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
mkuu kataa NDOA tunaoa darasa la SABA, hao ma super women bado hawajasema.....
 
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka

View attachment 3238169

huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.

Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana

No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.

Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Elimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.
Kikubwa mzazi mpeleke mtoto wako average school na pia mfundishe kazi na biashara kidogo. Hapo atakuwa na uchaguzi, aajiriwe au ajiajiri mwenyewe. Suala la kumpa mali ni upendeleo wa kipekee tu, sio kitu cha kudai.
 
Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Shida tu ni hawajaolewa ila wanajua dcks zote mijini huko.
 
Kabisa ndio maana wenzetu Wahindi wanawafundisha watoto wao ujasiriamali mapema,hawahangaiki na ajira!Ifikie wakati ajira ndio ziwe zinatafuta watu .Miaka ya 1977,Watu walikuwa wanamaliza chuo kikuu 150,Nafasi zilikuwa 2,000!
Good times never last, zama hizo hazitajirudia.
 
Biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi

Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa
na
Bwana”

Kama baba yako hajakupa urithi ujue baba yako ni mpumbavu anaenda motoni
Usiwaseme wazazi vibaya, ila wafundishe namna nyingine ya kuwaachia watoto wao urithi. Tunaamini urirhi wanaupata kupitia elimu ambazo tunagharamia millions of money. Ila sasa ni wakati wa kuangalia namna nzuri ya kutengeneza future za watoto wetu, kuna haja ya kuangalia, kusomesha ila kuwekeza ili madogo wakikua wawe na pa kuanzia. Kwa sasa elimu pekee sio suluhisho.
 
Unawapa stress waolewe na wasiowapenda halafu watendwe waanzwe kufoka 'Wanaume ni Mbwa'. Dadas msiingie ktk huu mtego wa umri kwenda. Pata chaguo lako kwa wakati wako.
Mtu anakaribia menopause, chaguo sahihi litoke wapi? Mtu akiwa 20's ndio anaweza kudengua, huko kwingine ni kusitiriana tu.
 
Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka

View attachment 3238169

huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.

Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana

No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.

Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Pamoja na kutokea kwenye umasikini na uyatima issue za ajira niliachana nazo kitambo thanks my sister miaka kumi iliyopita alinipa million 3 akanibust tena laki 6 baada ya kufeli kilichofuata ni historia
 
Nchi hii imeje fursa kibao ni laana kwa kijana na nguvu ,afya yako miaka 10 hadi pesa ya nauli unakopa .
Halafu mzigo ukiwapa wazazi kuwa wawandalie biashara ili hali TRA inawafilisi wafanya biashara wadogo.Ilaumu sisiyemu yeny mifumo mibovu ya kuendesha nchi.Haina maono tofauti na kununua v8
 
Elimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.
Kikubwa mzazi mpeleke mtoto wako average school na pia mfundishe kazi na biashara kidogo. Hapo atakuwa na uchaguzi, aajiriwe au ajiajiri mwenyewe. Suala la kumpa mali ni upendeleo wa kipekee tu, sio kitu cha kudai.

Acha kujidanganya elimu sio urithi

sheria gani ya mirathi imetambua elimu kama ni urithi ?

Ni hukumu gani ya mirathi umeona mtu karithishwa elimu ?
 
Back
Top Bottom