Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Mwalimu Nyerere memorial academyChuo gani
Dogo ushatupa taulo umechemka kuomba kazi?Mimi ni graduate na sijapewa urithi wowote na sipitii msoto
Ni ujinga mtu kukaa Mtaani unavizia ajira uchwara za kibongo
HeheheDogo ushatupa taulo umechemka kuomba kazi?
Nilijua tu kwa ubongo wako hauwezi ajirika kwa taasisi yoyote heri uendelee kuuza machenza
High income skills - hapa nimekuelewa sana.
High income skills Tanzania hakuna zinapoapply zikiapply ni maeneo machache, hizo course Tanzania hakuna zilipo Ulaya gharama ni kubwa.
Mzazi mwenyewe mshahara 200k umri wake wote duniani ameutumia kujenga nyumba ya kuishi akistaafu, amestaafu amelipwa mafao 20ml anamalizia nyumba ya kuishi na hela za kula akisubiri kufa.
Mzazi mkulima Kazuramimba huko, analima asomeshe na kula, hiyo family business anaitoa wapi?.
Mzazi anaungaunga hata hiyo ada amelipa Kwa taabu nyingi sana halafu tunamwambia habari ya family business.
Umasikini Tanzania ni mkubwa sana, na chanzo chake ni watawala na CCM. Wameshaifikisha meli deep sea wakijua ni Mbovu ilihitaji matengenezo ikiwa nangani bandarini au dry dock, kilichobaki sasa ni kupump maji nje, kuziba viraka na kuomba Mungu.
Wewe sio mzazi. Bisha.Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Kama ni kweli basi maamuzi yanawaponza baadhi yao.Bro aee wadanganye tuu but trust me women hawana choice when it comes to marriage....vidume ndio tuna choice. Wao wanakimbizana na biological clock
SASA NDUGU YANGU TUTAPATA WAPI MITAJI WKT HELA ZOTE ZINAISHIA KULIPA ADA EMS.Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
mkuu kataa NDOA tunaoa darasa la SABA, hao ma super women bado hawajasema.....Sasa mdada miaka 10 toka umalize chuo hujaolewa jamani....hili mie naoma ndio tatizo kubwa zaidi.
Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Elimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.Tazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Shida tu ni hawajaolewa ila wanajua dcks zote mijini huko.Sasa tuwasaidiaje wakiwa chuo wasiwe breki pumbuz?
Yaani imagine ten years no man wants to marry u. Assuming amemaliza chuo na 23 so means ana 33 no marriage. Aisee hii ni crisis
Good times never last, zama hizo hazitajirudia.Kabisa ndio maana wenzetu Wahindi wanawafundisha watoto wao ujasiriamali mapema,hawahangaiki na ajira!Ifikie wakati ajira ndio ziwe zinatafuta watu .Miaka ya 1977,Watu walikuwa wanamaliza chuo kikuu 150,Nafasi zilikuwa 2,000!
Usiwaseme wazazi vibaya, ila wafundishe namna nyingine ya kuwaachia watoto wao urithi. Tunaamini urirhi wanaupata kupitia elimu ambazo tunagharamia millions of money. Ila sasa ni wakati wa kuangalia namna nzuri ya kutengeneza future za watoto wetu, kuna haja ya kuangalia, kusomesha ila kuwekeza ili madogo wakikua wawe na pa kuanzia. Kwa sasa elimu pekee sio suluhisho.Biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa
na
Bwana”
Kama baba yako hajakupa urithi ujue baba yako ni mpumbavu anaenda motoni
Kwa hiyo kataa ndoa wanagegeda broke girls🤣🤣🤣🤣Shida tu ni hawajaolewa ila wanajua dcks zote mijini huko.
Mtu anakaribia menopause, chaguo sahihi litoke wapi? Mtu akiwa 20's ndio anaweza kudengua, huko kwingine ni kusitiriana tu.Unawapa stress waolewe na wasiowapenda halafu watendwe waanzwe kufoka 'Wanaume ni Mbwa'. Dadas msiingie ktk huu mtego wa umri kwenda. Pata chaguo lako kwa wakati wako.
Wanawatumia kama makarai ya zege.Kwa hiyo kataa ndoa wanagegeda broke girls🤣🤣🤣🤣
Pamoja na kutokea kwenye umasikini na uyatima issue za ajira niliachana nazo kitambo thanks my sister miaka kumi iliyopita alinipa million 3 akanibust tena laki 6 baada ya kufeli kilichofuata ni historiaTazama mwenyewe huyu dada graduate anavyoteseka
View attachment 3238169
huu ni Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha
mtoto afundishwe biashara na kuzalisha pesa kwa kujiajiri mapema.
Watoto wa zama hizi wajifunze high income skills mapema, hii itawasaidia sana
No need kuweka pesa nyingi kwenye formal education.
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali , familia haina family business na wala mtoto hapewi mtaji, sasa ataachaje kukosa Ajira?
Elimu ndio urithi wa mtoto. Sioni sababu mzazi atoe fedha kukusomesha na bado uje kutegemea mali zake alizozichuma kwa jasho na damu.
Kikubwa mzazi mpeleke mtoto wako average school na pia mfundishe kazi na biashara kidogo. Hapo atakuwa na uchaguzi, aajiriwe au ajiajiri mwenyewe. Suala la kumpa mali ni upendeleo wa kipekee tu, sio kitu cha kudai.
Leo ume sahau kusema mwee😂😂Jamani kataa ndoa evu walegezeeni wanawake wanataabika huku.
Waoeni muwatunze
Mweee...mluguru mie🤣🤣🤣Leo ume sahau kusema mwee😂😂