Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Lecturer hajawahi fanya kazi katika field husika anayo-train, baada ya kumaliza tu, akabakishwa shuleni.Lakini hili haliwezi kufanyika kama lecturers tutawapata kwa kuwachukua fresh from school kwa sababu tu ya academic performance lakini watahiniwa watahitaji zaidi ya good grades, so huyo lecturer ataweza wapa ya ziada
Hapa ndo unaona mfumo wa elimu unatakiwa kugusa kila angle hadi ubora wa waalimu ambao bado wanachaguliwa randomly na huko mavyuoni wengi wanachukuliwa fresh from school. Mambo ni mengi kuyaandika katika paragraph ndogo ndogo lakini nachoamoni Hii cycle haiwezi isha kirahisi kama wakufunzi hawatoguswa 🙏🙏
Mwanachuo hajawahi fanya field, kipindi chote cha masomo yake, anafanya tu "projects".
Ma-bro kazi zilizowafata chuoni kipindi hicho "waajiri leo", wamekua mwiba, kuhoji ubora na uwezo wa hawa graduates wa sasa.
Nimekuelewa sana katika msingi wa hoja zako katika hili.