Wahouth wa Jaribu tena kuishambulia Israel kwa kombola la Ballistic

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Mapema jioni hii Yemen ilirusha kombora la balistiki kwa Israel na safari hii mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel wa Arrow interceptor likipaa na kulidunga kombora la balistiki. Wakati kwenye uwanja wa mpira wa Tel Aviv kulikuwa na mechi tamu sana baada ya dakika tano mpira uliendelea na team yangu ilishinda kwa kishindo!!!!!

View attachment 3350271
View attachment 3350273
wahouthi wanatwangaga nini mbona makombora yenyewe yanapanguliwa?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom